Pamoja na Kwamba Dodoma Ndio Makao Makuu ya Nchi ila Hotuba za Viongozi Wakuu Bado Zinatoka Dar & Arusha.

Pamoja na Kwamba Dodoma Ndio Makao Makuu ya Nchi ila Hotuba za Viongozi Wakuu Bado Zinatoka Dar & Arusha.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
My Take
Watu walihamia Dom Kwa shingo upande ila Kwa hili nampongeza Hayati Magufuli.

Huwezi kuwa na Nchi ambayo Haina balanced Development yaani 80% ya Mapato yanatoka Mji mmja.

Juhudi za kujenga miundombinu inayokosekana Dodoma iongezwe,kisichukuliwe ndio kichaka cha kukwepa kuishi Dodoma.
 
My Take
Watu walihamia Dom Kwa shingo upande ila Kwa hili nampongeza Hayati Magufuli.

Huwezi kuwa na Nchi ambayo Haina balanced Development yaani 80% ya Mapato yanatoka Mji mmja.
Dodoma inachangia asilimia ngapi katika mapato ya nchi kwa sasa?
 
Hilo swala lako linahisikaje na Mji kuwa Makao Makuu ya Nchi?
Hiyo huwezi kuwa na nchi ambayo 80% ya mapato yake yanatoka mji mmoja inahusiana vipi na Dodoma kuwa makao makuu ya nchi??
 
Back
Top Bottom