My Take
Watu walihamia Dom Kwa shingo upande ila Kwa hili nampongeza Hayati Magufuli.
Huwezi kuwa na Nchi ambayo Haina balanced Development yaani 80% ya Mapato yanatoka Mji mmja.
Juhudi za kujenga miundombinu inayokosekana Dodoma iongezwe,kisichukuliwe ndio kichaka cha kukwepa kuishi Dodoma.