Pamoja na kwamba mimi ni mwana CCM mzuri lakini haya siyaafiki

Hutaki au
 
Wewe kidampa wa BAVICHAA, mbowe sio gaidi ndio lakini sio kwamba hahusiki na lile kundi haramu la uchomaji shule na masoko.
Lile genge tesaji
 
Mm ni mwana ccm ninayeamini wazir wa ndani amekosea kuwaita police vilaza
 
Wewe ni mpuuzi sana kama chama chako! Unawezaje kubishana na maana CCM mwenzio? Kwahio wewe unawafahamu wanachama wa CCM wote? Pumbavu sana, uoga wako, uongo, ujinga ndio unaokufanya uwe unabadili ID.

WEWE NI MJINGA NA MPUUZI KAMA BAADHI ya WANACCM wengine tu. Umepata Bando ndio unakurupuka kujibu, kaa kwa kutulia.

Kakune Nazi huko ulipwe. Mbuzi wewe

 
Wewe pengine una kadi tu moyoni sio mwanaccm. Wala hujui kwa nini ccm ni chama cha mapinduzi. Pia huna habari kama ccm itikadi yake ni ujamaa. Bora urudishe kadi yetu.
 
CCM kiasili ni chama cha kuwakomboa na kuwalinda waafrika.
Chama Cha Mapinduzi kinapinga aina zote za uonevu na ukandamizaji.
Kwa bahati mbaya, makaburu uchwara nayo yameibuka ndani yake.
Ni lazima wanaCCM wa kweli kupambambana na makaburu wa ndani.
 
Mimi ni Mwanaccm nisiye kubaliana na mgawanyo wa aina yoyote ile katika mazingira ya usawa (yaani pasu kwa pasu) kati ya watu milioni zaidi ya 50 dhidi ya watu milioni mbili kasoro, kwa kisingizio cha Muungano!
Nam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…