Wazo zuri sanaLabda Huenda wewe umebobea katika kitu Fulani, labda ndio career yako ni vema ujifunze mambo mengine madogo madogo!
Mfano mimi Nasoma Civil, ila ninajifunza Programming....najifunza namna ya ku crack software, najifunza namna ya kutengeneza injini ya gari!
Tujifunze....Ujuzi Hauzeeki!
Hongera sana Mkuu, Endeleza UjuziElectrical engineer also I do Telecom stuff like installations and commissioning MW link,fiber optics BTS also I know Networks like routers configuration mostly CISCo sasa napambana kujua kufunga PABX na AVR
As an Engineer mkuu unahitaji Autocad kwa ajili ya drafting achana na ArchCad, ikiwa una nia ya Ku masta softwares. Kwa softwares za analysis (BIM) unahitaji sana Staad Pro, hii inafanya structures zote na unaweza import michoro yako kutoka AutocaD na ku ecport kwenda AutoCad pia, ingawa kwa structures kama Culverts na Bridges nashauri zaidi Midas Civil.AutoCAD, ArchiCAd , Master Series na Prokon ushazi master?