Pamoja na kwamba ukianza Kampeni mapema unachokwa haraka lakini pia kisheria Hairuhusiwi

Pamoja na kwamba ukianza Kampeni mapema unachokwa haraka lakini pia kisheria Hairuhusiwi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ni Muhimu sana kwa viongozi wa Nchi kuheshimu Sheria walizoziweka wenyewe kwa matakwa yao.

Hii ni kwa sababu hatukuwalazimisha kuziweka, na ili sheria hizo ziheshimiwe na Wananchi wote basi ni vema Viongozi wakaonyesha Mfano wa kuzitii na kuzifuata

Screenshot_2025-03-08-10-55-13-1.png
 
Ni Muhimu sana kwa viongozi wa Nchi kuheshimu Sheria walizoziweka wenyewe kwa matakwa yao.

Hii ni kwa sababu hatukuwalazimisha kuziweka, na ili sheria hizo ziheshimiwe na Wananchi wote basi ni vema Viongozi wakaonyesha Mfano wa kuzitii na kuzifuata

View attachment 3263469
kwahiyo watu wasipongezwe?🤣

pongezi ndiyo imekua kampeni ya kunadi ilani ya uchaguzi?🤣

halafu si hamshiriki uchaguzi mkuu nyinyi, mchecheto na kimuhemuhe cha nini sasa gentleman?🐒
 
Maisha mtaani yamekuwa magumu! Badala ya kuumiza kichwa ili uwaletee wananchi unafuu wa maisha, wewe unawaletea mabango yako ya kujisifia! Jambo la ajabu sana hili.
 
Lini kampeni ilikwisha ?!!!

Mara nyingine mnapoteza bure tu ammunition huo muda wa kulalamika wameanza Kampeni wakati kuna loopholes kibao na kila issue ya Serikali inafanyika kama issue ya Chama.., Mgetumia kuongelea vitu simple tu ambavyo wananchi wana relate navyo..., ambavyo ni vingi na vya kutosha, kuanzia kwanini maisha yao ni magumu na ni vipi yanaweza yakaboreshwa..., hio safari ya kutawala au wao kuwapisha nyie mtawale mwananchi bado ataendelea kupigika tu (you are both two sides of the same coin) katika Politics of Attack and Survival (Kutafuta KURA ili kwenda KULA)
 
Back
Top Bottom