Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ni Muhimu sana kwa viongozi wa Nchi kuheshimu Sheria walizoziweka wenyewe kwa matakwa yao.
Hii ni kwa sababu hatukuwalazimisha kuziweka, na ili sheria hizo ziheshimiwe na Wananchi wote basi ni vema Viongozi wakaonyesha Mfano wa kuzitii na kuzifuata
View attachment 3263469
kwahiyo watu wasipongezwe?π€£Ni Muhimu sana kwa viongozi wa Nchi kuheshimu Sheria walizoziweka wenyewe kwa matakwa yao.
Hii ni kwa sababu hatukuwalazimisha kuziweka, na ili sheria hizo ziheshimiwe na Wananchi wote basi ni vema Viongozi wakaonyesha Mfano wa kuzitii na kuzifuata
View attachment 3263469
Unawezaje kuharibu amani kwenye uchaguzi ambao hautakuwepo?
Yeyote atakayethubu kuzuia uchaguzi hataachwa salama.Unawezaje kuharibu amani kwenye uchaguzi ambao hautakuwepo?
Uue Nchi yote halafu uongeze niniYeyote atakayethubu kuzuia uchaguzi hataachwa salama.
Aibu kubwa sanaMaisha mtaani yamekuwa magumu! Badala ya kuumiza kichwa ili uwaletee wananchi unafuu wa maisha, wewe unawaletea mabango yako ya kujisifia! Jambo la ajabu sana hili.
Maelfu ya watu watashiriki uchaguzi Sasa hao wa sijui kuua Nchi yote wanafoka wapi? ππUue Nchi yote halafu uongeze nini
No Reform No ElectionMaelfu ya watu watashiriki uchaguzi Sasa hao wa sijui kuua Nchi yote wanafoka wapi? ππ
Kampeni na maandalizi yanaendelea kama kawaida
SawaNo Reform No Election
Tatizo CHADEMA nanyi pia hamna tofauti yoyote na hao mnaowalaumu. Agenda zenu ni za kijinga mno...No Reform No Election
Una uhakika?Unawezaje kuharibu amani kwenye uchaguzi ambao hautakuwepo?