Wazungu aka Mabeberu wana wivu sana, halafu wanataka kutuaminisha eti harakaharaka haina baraka na kutangulia sio kufika, kama sio wivu nini?
Eti nimesikia miongoni mwa nchi 54 zilizoruhusiwa kuingia Ulaya Tanzania haimo. Huu ni wivu tu! Hawa sio wale waliokuwa wanaota nyumbu na Ngorongoro Crater wakati wako na kwenye Corona lockdown?
Hivi na sisi tukiwafungia watawaona wapi nyumbu na Crater? Mimi nashauri na sisi tuweke ban kuja kuona mlima Kilimanjaro tuone kama hawatakufa hawa!!