Pamoja na matokeo ya jana ila Simba bado atafuzu kwenda robo fainali

Simba ikishinda mechi ijayo itaamsha matumaini.
kiukweli kabisa mimi nilkua muumin mkubwa wa kupinga Simba kuletewa kocha mpya wakati Mgunda katinga group stage kibabe tena kwa kuruhusu magoli machache.
 
Tunawaheshimu TP Mazembe lakini Kwa usajili wa Yanga hawa ni size yetu kabisa, tunahitaji point 3 muhimu.
Usajili upi, mudathir yahaya na kisinda au mamadou Doumbia ambaye anasugua benchi ??
 
Hakuna cha calculations, mnyama ana toboa mchana kweupe..
Mpira hauchezwi mdomoni, Raja tayari wameshaingia robo bado nafasi moja.

Mpira ni hesabu na angalia vizuri hesabu za Raja, angalia kundi la Aly Ahaly wanaburuza mkia, huko siyo mchezo.
 
Simba ikishinda mechi ijayo itaamsha matumaini.
kiukweli kabisa mimi nilkua muumin mkubwa wa kupinga Simba kuletewa kocha mpya wakati Mgunda katinga group stage kibabe tena kwa kuruhusu magoli machache.
Upo sahihi mkuu, mgunda kwa sasa hana maamuzi ya mwisho na mbaya zaidi mzungu ana kurupuka balaa..
 
Ulichonifurahisha umedeclare kabisa Kwa Raja hampati hata point moja, mtakwenda kupunguza idadi ya magoli tu.

Ile discipline ya Jana inaitwa Mwana ukome mpaka saa hizi Ahmed Ally hana hamu amelala na kispika chake.
Ata wewe utopolo unakandwa leo
 
Mpira hauchezwi mdomoni, Raja tayari wameshaingia robo bado nafasi moja.

Mpira ni hesabu na angalia vizuri hesabu za Raja, angalia kundi la Aly Ahaly wanaburuza mkia, huko siyo mchezo.
Sasa hesabu si ndio hizo nimeweka hapo kama zitaenda sawa tunatoboa.
 
Champions League ni kugumu sana, Simba wanalijua hilo. Tambo za kuhamasishana ni hivyo tu ili mashabiki wasije uwanjani kinyonge. Simba wana mapungufu ya kikosi ila zaidi ni katika upangaji wa timu, nani aanze, nani aingie baadae. Hapa ndiyo pameikwamisha timu jana.

Huku ni rahisi sana kupigwa goli kumi kama umesimama vile. Mimi nilivyoona tu kikosi nilipost humu, Simba itapata shida leo. Bocco anachezeshwa kila siku ili eti arekebishe makosa yake ya nyuma wakati timu inahitaji matokeo muhimu, halafu eti ndiyo captain.
 
Raja watafuzu na GD ya 20+

Home ni 5 au zaidi kwa wote watatu halafu away hawapotezi.
 
Simba maneno ni jadi yenu. Mkiingia uwanjani, mambo yanakuwa tofauti kabisa. Matumaini yangeendelea kuwepo, iwapo tu jana mngepata walau sare...
Kinadharia upo sahihi. Ila kimahesabu nafasi ipo sema inategemeana na matokeo ya mechi zisizozihusisha Simba.
 
Hauna tofauti na mashabiki wa Manchester United, arsenal akidroo mechi 3 uku man city akifungwa na liver af akadroo na Chelsea,sisi man u tutashinda mechi zote tatu tunachukua ubingwa.
Ndugu ilo unaloliwaza! vipers na horoya nao wanawaza hivyo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…