Simba hawezi kumfunga Vipers pale Uganda labda abadili namna ya uchezaji.Haitakuwa rahisi ila atake asitake atafungwa tu..
Njia ya Simba kwenda robo bado nyeupe sana, tuliwahi kupoteza mechi tatu kwa margin kubwa ya magoli na bado tukafuzu..Simba maneno ni jadi yenu. Mkiingia uwanjani, mambo yanakuwa tofauti kabisa. Matumaini yangeendelea kuwepo, iwapo tu jana mngepata walau sare!
Kwa kitendo cha kufungwa mechi 2 mfululizo! Mqana yake safari yenu ndiyo imefikia tamati. Msipoendelea kushika mkia mpaka mwisho, basi mtashika nafasi ya 3.
Hata Yanga nao wakikubali kichapo cha pili kutoka kwa Tp Mazembe masaa machache kuanzia sasa, na wenyewe wataungana na nyinyi kuhitimisha hii hatua ya makundi, na hivyo kujipanga tena kwa ajili ya mwakani.
Al Ahly kacheza mechi moja hata Wydad naye kacheza mechi moja wote wanaburuza mkia.Mpira hauchezwi mdomoni, Raja tayari wameshaingia robo bado nafasi moja.
Mpira ni hesabu na angalia vizuri hesabu za Raja, angalia kundi la Aly Ahaly wanaburuza mkia, huko siyo mchezo.
Quality itaamua..Hauna tofauti na mashabiki wa Manchester United, arsenal akidroo mechi 3 uku man city akifungwa na liver af akadroo na Chelsea,sisi man u tutashinda mechi zote tatu tunachukua ubingwa.
Ndugu ilo unaloliwaza! vipers na horoya nao wanawaza hivyo hivyo.
Vipers juzi walikuwa pungufu na kukumbusha kijana Halafu hata nae Vipers anawaza kama wewe kwani ikiwa ww umekula kwako tatu ana amini wewe ni kibonde kwenye hili group.Habari wakuu
Kwanza niwape pole wanasimba wenzangu kwa kilicho tokea jana, itoshe tu kusema kwamba Raja wametuzidi mno, ni maji marefu sana kwetu hivyo kukaa na kuhuzunika haitosaidia wala kubadilisha msimamo wa kundi.
Pili niwape hope wana simba wenzangu kuwa chance ya sisi kutoboa makundi bado ni kubwa mno, tumebakiwa na mechi nne za makundi mkononi ambazo kimahesabu zinatosha sana kutupeleka robo fainali.
Kwanza kabisa tuna mechi mbili dhidi ya vipers yaani home & away pia mechi za marudiano dhidi ya Raja na Horoya. Jana hatukucheza vibaya bali quality kubwa ya Raja ili tuhukumu kama nilivyosema hapo awali, lakini kiwango kile kile tukihamisha dhidi ya vipers na Horoya simuoni yeyote anaye chomoka.
Kwanza mpaka sasa tufahamu kuwa raja ameshajitenga tuliobaki tunagombea nafasi ya pili, ambapo mpinzani wetu mkubwa ni Horoya kutokana na msimamo wa kundi ulivyo, Horoya mpaka sasa ana point nne na mechi nne mkononi ambapo atakutana na raja home and away pia marudiano na vipers na Simba.
Kwa namna yeyote ile Horoya hana quality ya kumfunga Raja labda akijitahidi sana anachukua sare nyumbani ila ni obvious kwamba atampiga vipers ambapo pia sio rahisi kutokana na uchezaji wao. Hivyo kama atamfunga vipers kwa alama zao nne ambazo tayari wamezivuna atafikisha alama Saba na endapo atapata angalau sare basi atafikisha alama 8, hawezi kuvuka hapo, ila binafsi namtazamia kwenye alama 7 sababu raja hawana utani.
Turudi sasa kwa mnyama simba, binafsi nitakuwa wa mwisho kuamini kama Horoya ataondoka na point kwa mkapa, hivyo ni obvious tutampiga, kama Horoya ameweza kupata sare pale st Mary's kitende dhidi ya vipers basi tunao uwezo wa kumpiga vipers pale pale kwao japo sio rahisi ila inawezekana, na akija kwa mkapa apasuke pia, mpaka hapo tutakuwa na alama 9 ambazo Horoya kwa moto ule wa raja hata aroge hawezi kufikisha.
Alafu mechi iliyobaki ya marudiano dhidi ya Raja Casablanca, tukafe nao huko huko watupige hata kumi, ila tutakuwa tumefuzu kwenda robo fainali Nyuma yao, hivyo wanasimba nafasi bado ipo tusikate tamaa, nguvu kubwa tuielekeze kwa vipers na Horoya..
Nguvu moja [emoji881]
Hata Vipers nae anasema kama wewe. Sasa hivi mmekuwa kama motivation speakers "heka moja ya matikiti mil 5,ukilima heka 20 una milioni 100",sasa ingia shambani uone.Pamoja na yote ila nafasi ya Simba kwenda ni kubwa sana..
Simba kuanza kupiga hesabu za robo fainali inabidi apate kwanza hizo point za Vipers.Hata vipers hana uwezo wa kumfunga Simba popote pale..
Raja walitaka wawapige kimoja cha heshma, mlipoanza kufukuruta, wakaona wamalize pakiti.Mechi ya jana mimi wala haukuniumiza matokeo yake
Kwenye madraft unapokutana na mchezaji mkubwa kukuzidi wewe kuna kauli moja ya utani tunapenda kuitumia kuwa "draft linamuheshimu fundi"
Hata ukikosea ila hauwezi ukakosea katika level sawa na huyu asiyejua
Kwa hiyo sisi tulifanya makosa lakini haina maana wao Raja hawakufanya makosa, ila namna ya ku convert hayo makosa kuwa magoli ndio hapo mpira ulipoamua kumpa advantage fundi
Niliyo yasema karibia yanakwenda kutimia.Habari wakuu
Kwanza niwape pole wanasimba wenzangu kwa kilicho tokea jana, itoshe tu kusema kwamba Raja wametuzidi mno, ni maji marefu sana kwetu hivyo kukaa na kuhuzunika haitosaidia wala kubadilisha msimamo wa kundi.
Pili niwape hope wana simba wenzangu kuwa chance ya sisi kutoboa makundi bado ni kubwa mno, tumebakiwa na mechi nne za makundi mkononi ambazo kimahesabu zinatosha sana kutupeleka robo fainali.
Kwanza kabisa tuna mechi mbili dhidi ya vipers yaani home & away pia mechi za marudiano dhidi ya Raja na Horoya. Jana hatukucheza vibaya bali quality kubwa ya Raja ili tuhukumu kama nilivyosema hapo awali, lakini kiwango kile kile tukihamisha dhidi ya vipers na Horoya simuoni yeyote anaye chomoka.
Kwanza mpaka sasa tufahamu kuwa raja ameshajitenga tuliobaki tunagombea nafasi ya pili, ambapo mpinzani wetu mkubwa ni Horoya kutokana na msimamo wa kundi ulivyo, Horoya mpaka sasa ana point nne na mechi nne mkononi ambapo atakutana na raja home and away pia marudiano na vipers na Simba.
Kwa namna yeyote ile Horoya hana quality ya kumfunga Raja labda akijitahidi sana anachukua sare nyumbani ila ni obvious kwamba atampiga vipers ambapo pia sio rahisi kutokana na uchezaji wao. Hivyo kama atamfunga vipers kwa alama zao nne ambazo tayari wamezivuna atafikisha alama Saba na endapo atapata angalau sare basi atafikisha alama 8, hawezi kuvuka hapo, ila binafsi namtazamia kwenye alama 7 sababu raja hawana utani.
Turudi sasa kwa mnyama simba, binafsi nitakuwa wa mwisho kuamini kama Horoya ataondoka na point kwa mkapa, hivyo ni obvious tutampiga, kama Horoya ameweza kupata sare pale st Mary's kitende dhidi ya vipers basi tunao uwezo wa kumpiga vipers pale pale kwao japo sio rahisi ila inawezekana, na akija kwa mkapa apasuke pia, mpaka hapo tutakuwa na alama 9 ambazo Horoya kwa moto ule wa raja hata aroge hawezi kufikisha.
Alafu mechi iliyobaki ya marudiano dhidi ya Raja Casablanca, tukafe nao huko huko watupige hata kumi, ila tutakuwa tumefuzu kwenda robo fainali Nyuma yao, hivyo wanasimba nafasi bado ipo tusikate tamaa, nguvu kubwa tuielekeze kwa vipers na Horoya..
Nguvu moja [emoji881]
Sema kweliSimba hawezi kumfunga Vipers kirahisi hivyo.
Raja ametushindia mechi ili tupiteHizi hesabu ni za matumaini ila Kwa sasa la kufikiri ni kushinda mechi zinazofata ili kuiweka sawa heshima ya Simba na sio kuingia robo fainali. Ikitokea katika kushinda kwako wengine wakashindwa ukapita unakuwa umebahatisha.
Ukishaanza mambo ya kumtegemea Raja ambaye hata akidondosha p3 hana la kupoteza akushindie mechi ili upite tayari ni hesabu za bahati nasibu. Unabeti