MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Najua baada ya Sare ya Leo piga ua kuelekea Mechi yao ya Kumaliza mzunguko wa Kwanza GSM watahonga kadri wawezavyo ili Yanga SC amfunge Mtibwa Sugar FC Wiki ijayo ili apunguze Presha kwa Mashabiki wake.
Na kibaya zaidi Mtibwa Sugar FC wana Golikipa ambaye ni mwana Yanga SC lia lia na anaichukia sana Simba SC Shabaan Kado hivyo najua nae kuna Goli zuri tu kwa Makusudi atawazawadia Yanga SC.
Hata hivyo pamoja na Yanga SC kuwa katika nafasi nzuri ya Kumfunga Mtibwa Sugar FC nitoe Kwanza pongezi zangu nyingi kwa Mbeya City FC kwa Kuwabana na Kumpunguza Alama ( Points ) Mbili hivyo Kuturahisishia Kazi mapema Simba SC kuliko ambavyo tulitarajia.
Kwa Mkakati Maalum (wa Kimafia) nina uhakika katika Mzunguko wa Pili Yanga SC atapoteza ( ataacha ) Alama kwa Timu zifuatazo ambazo naziamini na ndipo Simba SC itapitia humo humo mpaka kuwa Bingwa tena kwa mara ya Tano ( 5 ) safari hii ikiitwa NBC Premier League 2021 / 2022...
Simba SC atamfunga Yanga SC
Azam FC atamfunga Yanga SC
KMC FC atamfunga Yanga SC
Namungo FC atatoka Sare na Yanga SC
Mtibwa Sugar FC atatoka Sare na Yanga SC
Mbeya City FC atatoka Sare na Yanga SC
Biashara United FC atatoka Sare na Yanga SC
Jumla Yanga SC anaenda Kupoteza (Kuacha) Alama (Points) 17 katika Mzunguko wa Pili ( wa lala Salama ) wa Ligi Kuu ya NBC.
Kuanzia Mechi ya Juzi ya Simba SC na Prisons FC na ya Kesho dhidi ya Mbeya Kwanza FC na Mechi zote za Mzunguko wa Pili ( wa mwisho ) mnaodhani Simba SC ama itafungwa au hata kutoka Sare tena mmekosea kwani hivi Wazee wa Fitina, Hila na Umafia tumesharejea Kundini na sasa ni mwendo wa Kushinda tu Mechi zetu zote Kudadadeki.