msnajo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 3,066
- 1,141
Watz tupo katika giza sababu ya mgao wa umeme ambao haujulikan lini mwisho wake. Jambo la kushangaza mno ni kwamba pamoja na huu mgao, wateja wa Tanesco wanaotumia mita za zaman wanalipa bill kama zaman na wakati mwingine zimekuwa zikipanda! Hapa nashindwa kuelewa inakuje matumizi yamepungua lakin bill inaback kama mwanzo. Ukiuliza unajibiwa kuwa ni matumizi yako kwa hiyo lipa! Huu ni ukatili kwa watz walio maskin ambao hata baada za miaka 50 za uhuru bendera, bado tupo gizan. Sababu zinazotolewa ni kuwa mvua hazinyeshi, swali, "mbona majiran zetu hakuna mvua ila cjackia matatizo haya?" Cjamlaum yeyote, naomba tuchangie hoja.