Pamoja na mziki wao kuwa tofauti je kati ya Michael Jackson na Bob Marley nani alikubalika zaidi ulimwenguni

Good mkuu analysis nzuri
 
Mimi Mpenzi Wa Reggae Lakini Mziki Wa Michael Jackson Ulikuwa Ni Another Level.
Ndio Maana Ni Miongoni Mwa Watu Wa Zamani I Wenye Covers Nyingi .

Pia, Hakuna Msanii Mpaka Kesho Anamfikia Kwa Kujaza Ukumbi Wa Mpira Mpaka Nje, Imagine Watu Wanazimia Kwa Kukosa Hewa Sometimes Anakuja Kwa Parachute Kwa Maana Hamna Sehemu Ya Kukanyaga.

Kwa Kuuza Album Ile Ya Thriller Bhado Record Yake Haijavunjwa Mpaka Leo.

Hakuna Msanii Aliye Wahi Kushika Hisia Za Watu On Stage Kama MJ. It Reaches A Point Watu Wanazimia, Wanalia Non Stop Wengine Hawatoki Stage Wakiitwa Kucheza Nae, Ambulance Zilikuwa Zinaletwa Nyingi Kutokana Na Watu Kuwa Over Obsessed With His Music .
 
Hahaha waambie mkuu michael ni mtu mwingine yule
 
He's the Legend now, kwa miongo mitatu sasa toka afariki, bado muziki wake uko hai.
Form is temporary but class is permanent.

Bob ameisadia sana Dunia ya wanyonge kuwa kama ilivyo leo but MJ kaiburudisha tu Dunia kwa kiwango cha mdumange. Ndio maana MJ anakuwa mtu wa showbiz pekee but Bob alienda mbele ya kuburudisha hakujali hata pesa wala fame alikuwa anatetea usawa, haki, umoja, amani na Upendo among human race ndio maana kwangu namuona Bob yuko beyond MJ.

Tamasha la Zimbabwe hakuomba hata 100, alipiga bure kwa ajili ya kuliberate Zimbabwe and other African nationals.

Aliwapenda waafrika kwa dhati na alipokufa aliomba aje azikwe afrika nyumbani pale Ethiopia.
 
Tuacheni utani, namuheshimu sana Boby Marley ila kwa Wacko jacko anasubiri

Michael was a GENIOUS, GENIOUS, GENIOUS of music industry

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
2 Bad
2,000 Watts
A Brand New Day
Another Part Of Me
Baby Be Mine
Bad
Beat It
Ben
Billie Jean
Black Or White
Blood On The Dancefloor
Break Of Dawn
Burn This Disco Out
Butterflies
Butterflies (remix)
Call On Me
Can't Let Her Get Away
Childhood
Cinderella Stay Awhile
Come Together
Corner In The Sky
Cry
D.s.
Dangerous
Dirty Diana
Don't Let It Get You Down
Don't Stop 'til You Get Enough
Don't Walk Away
Earth Song
Elizabeth, I Love You
Farewell My Summer Love
Get On The Floor
Ghost
Girl You're So Together
Girlfriend
Give In To Me
Give Thanks To Allah
Gone Too Soon
Gonna Be Startin' Somethin'
Got To Be There
Greatest Show On Earth
Heal The World
Heartbreaker
Heaven Can Wait
Here I Am
History
Human Nature
I Can't Help It
I Just Can't Stop Lovin You
I Wanna Be Where You Are
In The Closet
Is It Scary
It's The Falling In Love
Jam
Just A Little Bit Of You
Just Good Friends
Keep The Faith
Leave Me Alone
Liberian Girl
Little Susie
Love Is Here And You Are Gone
Love's Gone Bad
Man In The Mirror
Maria (you Were The Only One)
Melodie
Money
Morphine
Off The Wall
One Day In Your Life
One More Chance
P.y.t. (pretty Young Thing)
Privacy
Remember The Time
Rock With You
Rockin' Robin
Scream
Shake Your Body (down To The Ground)
She Drives Me Wild
She's Out Of My Life
Smile
Smooth Criminal
Soon As I Get Home
Speed Demon
Stranger In Moscow
Superfly Sister
Tabloid Junkie
Take Me Back
That Is What Love Is Made Of
The Greatest Show On Earth
The Lady In My Life
The Way You Make Me Feel
They Don´t Care About Us
This Girl Is Mine
This Time Around
Thriller
To Make My Father Proud
Touch The One You Love
Unbreakable
Wanna Be Startin' Somethin'
We've Got Forever
We've Had Enough
Whatever Happens
When I Come Of Age
Who Is It
Why You Wanna Trip On Me
Will You Be There
Working Day And Night
You Are Not Alone
You Can Cry On My Shoulder
You Really Got A Hold On Me
You Rock My World
You Rock My World (remix)
 
Muziki wa Ragge kiafrika ni muziki wa ukombozi na harakati za mtu mweusi kujikomboa katika utumwa wa kifikra.
Muziki wa Pop ni mapambo ya Kibepari kutukuza visivyoonekana kuwa katika uhalisia.
Kiafrika muziki wa Ragge una heshima kubwa sana kwani ulihakisi na unahakisi maisha halisi ya mtu mweusi.
Ragge ni ibada, pop ni starehe.
Pop ni muziki uliotengenezwa kupindua uhalisia wa muziki wa ragge,ndio maana Michael Jackson alidiliki kujibadilisha awe kama mzungu.
 
Mimi ni Shabiki wa Michael hadi huwa navaa zile loafers zake (angalia pichani hapo chini) na suruali njiwa nyeusi na shati jeupe...slim tie...na kofia yake ile..then anakula na lile tambala lake la mkononi just to look like Michael.

Thus, unaweza kuona Mimi ni die hard fan MJ but ukweli unabaki pale pale Bob was beyond Michael kwa sababu hakuburudisha pekee kama MJ bali alikomboa watu mentally, physically and emotionally. Watoto wa juzi hawawezi kujua hili.

Na watu walio intellectually matured wengi wanamwelewa Bob kirahisi sana ila wenye uelewa hafifu MJ kwao ni deal mbele ya Bob.
 

Attachments

  • IMG_20180528_013124_902.JPG
    259.4 KB · Views: 51
Sawa team bobu
 
Sawa mkuu
 
Naona mpaka sasa Bob Marley anaongoza kura.

Kiukweli Bob Marley ndie MTU anayeishi na ataishi mpaka next generation.

Much love to you Bob wherever you are!!
Hahaha mkuu vijana wake wa bangi wanamtetea sana huku jf[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…