Richard R Monyo
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 242
- 265
- Thread starter
-
- #121
Sawa mkuuMmoja alikwa mwanamuziki tu, mwengine ni alikuwa mwanamuziki na mwalimu katika alichokuwa anaimba. Bob hakuishia kuimba tu ili upate burudani bali alifundisha kupita muziki wake.
Unapoelekea uwenda pakawa pabaya zaidi kwa upande wa huyo unaemtete pia ukija na sifa za namna hiyo.Hahaha mkuu vijana wake wa bangi wanamtetea sana huku jf[emoji23]
Sio kila anaemsifu Bob Marley ni mvuta bangi, kumuelewa na kumkubali Bob Marley inahitaji akili kubwa, kama wewe akili yako iko oriented kwenye mambo ya burudani pekee basi huwezi kujua Bob Marley kuwa ndiye nabii wa ukombozi kwa wanyonge.Hahaha mkuu vijana wake wa bangi wanamtetea sana huku jf[emoji23]
HahahaUsimfananishe Bob Marley na huyo punga
Tell children the truth that babylon system is the vampire.Sawa team bobu
HahahahaTafadhar Bob aheshimiwe
Yan Bob wakumfanansha na Dada michael??
Alietoka mising ya kiumen mchana kweupeee
Bob anaushawish mkubwa sana kwenye iman ya Rastafarian unaweza kumuita papa wa kwanza kwenye hii dini
WoyoooUnapozungumzia kukubalika hakuna mwanamuziki aliewahi kukubalika duniani kote na kupendwa kama Michael Jackson,ukweli kuwa hit songs zake zilikuwa zinaingia top ten katika nchi tofauti kwenye mabara tofauti,ukweli kuwa show zake zilikuwa zinajaza mpaka kutapika katika nchi tofauti na mabara tofauti,ukweli kuwa maisha yake yalikuwa yanaleta mgawanyiko wa kimawazo katika nchi tofauti tofauti na mabara tofauti,ukweli kuwa muziki wake ulikuwa unaimbwa na kueleweka na watoto,wadada,wamama na wababa, ukweli kuwa nyota ya umaarufu ilianza kumfuata akiwa na miaka chini ya kumi,(kimsingi umaarufu ndio ulimpenda, kumtafuta,kumfuata na kuambatana na Michael na wala hakuutafuta kiivyo kwani Michael mwenyewe alikuwa mtu wa aibu sana nje ya jukwaa lamuziki).Ukweli kuwa kifo chake kiliushtua zaidi ulimwengu kiasi kuwa mtandao wa google uliripotiwa kustack kwa muda kwa idadi kubwa mno ya watu walioingia mtandaoni kutafuta habari zake!
kweli zote hizo na nyingine nyingi zinamfanya Michael asiwe na upinzani kwani aliunyanyua muziki na kuupeleka level za juu kabisa kiasi kuwa wasanii wote waliofuata baada yake walikuwa ama wanalinganishwa ama wanataka kulingana nae mfano Chriss Brown.
Bob Marley ana heshima zake pia,kwani aliupa umaarufu kiasi muziki wa reggae ingawa hata hivyo waliouelewa walikuwa wachache sana kwa wakati huo, kimsingi jinsia ya kike hawakuuelewa kihivyo(kumbuka jinsia ya kike ni mojawapo ya vigezo visivyo rasmi vinavyoongeza umaarufu wa wasanii kwa ushabiki wao uliojaa mahaba).Muziki wake ulikuwa mzuri ingawa aliimba kivivu vivu,mi binafsi namkubali zaidi Lucky Dube anachangamsha na ujumbe mzito zaidi kuliko Marley.kwangu Michael alikuwa anakubalika zaidi kuliko Marley,ingawa kimsingi tunapaswa kushukuru kuwa hawa watu wawili walipita katika ulimwengu huu na kutuachia kumbukumbu na alama za kukumbukwa sana.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] umenena vema sana mkuu jamaa anazingua sanaJamaa nimemuona ni dizaini kama choko Fulani hivi.. Bora mada angeiandika kabisa kwamba Maico ni zaidi ya Bob kuliko kuingizia maneno yake kama shoga huyo anaye mshabikia.
Jina lako tuBob n level nyingine aisee.....
We Jamaa Ni Hatari . Nilidhani Nazijua Nyimbo Za Michael Jackson Zote Ila Hapo Umenishinda.Tuacheni utani, namuheshimu sana Boby Marley ila kwa Wacko jacko anasubiri
Michael was a GENIOUS, GENIOUS, GENIOUS of music industry
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
2 Bad
2,000 Watts
A Brand New Day
Another Part Of Me
Baby Be Mine
Bad
Beat It
Ben
Billie Jean
Black Or White
Blood On The Dancefloor
Break Of Dawn
Burn This Disco Out
Butterflies
Butterflies (remix)
Call On Me
Can't Let Her Get Away
Childhood
Cinderella Stay Awhile
Come Together
Corner In The Sky
Cry
D.s.
Dangerous
Dirty Diana
Don't Let It Get You Down
Don't Stop 'til You Get Enough
Don't Walk Away
Earth Song
Elizabeth, I Love You
Farewell My Summer Love
Get On The Floor
Ghost
Girl You're So Together
Girlfriend
Give In To Me
Give Thanks To Allah
Gone Too Soon
Gonna Be Startin' Somethin'
Got To Be There
Greatest Show On Earth
Heal The World
Heartbreaker
Heaven Can Wait
Here I Am
History
Human Nature
I Can't Help It
I Just Can't Stop Lovin You
I Wanna Be Where You Are
In The Closet
Is It Scary
It's The Falling In Love
Jam
Just A Little Bit Of You
Just Good Friends
Keep The Faith
Leave Me Alone
Liberian Girl
Little Susie
Love Is Here And You Are Gone
Love's Gone Bad
Man In The Mirror
Maria (you Were The Only One)
Melodie
Money
Morphine
Off The Wall
One Day In Your Life
One More Chance
P.y.t. (pretty Young Thing)
Privacy
Remember The Time
Rock With You
Rockin' Robin
Scream
Shake Your Body (down To The Ground)
She Drives Me Wild
She's Out Of My Life
Smile
Smooth Criminal
Soon As I Get Home
Speed Demon
Stranger In Moscow
Superfly Sister
Tabloid Junkie
Take Me Back
That Is What Love Is Made Of
The Greatest Show On Earth
The Lady In My Life
The Way You Make Me Feel
They Don´t Care About Us
This Girl Is Mine
This Time Around
Thriller
To Make My Father Proud
Touch The One You Love
Unbreakable
Wanna Be Startin' Somethin'
We've Got Forever
We've Had Enough
Whatever Happens
When I Come Of Age
Who Is It
Why You Wanna Trip On Me
Will You Be There
Working Day And Night
You Are Not Alone
You Can Cry On My Shoulder
You Really Got A Hold On Me
You Rock My World
You Rock My World (remix)
Wandering up and down, the street of sowetooo, no place to call my homeeee. I tried to find you many years ago but the woman you marry was no good at all.Hao wote wakiimba music tofauti wenye ujumbe tofauti.kwangu Mimi wasanii bora hadi sasa na watakaoendelea kuwa bora hadi naingia kaburini ni Lucky Dube,Michael Jackson na 2pac watu hawa kila siku ziendazo kwa mungu lazima nisikilize nyimbo