Pamoja na TFF kusimamisha ligi kisa haya Majamaa yacheze kwanza fainali lakini ndio hivyo tena, hayafadhiriki

Wewe kunenea wenzio eti wanataka kuwa mazombi, mara eti kwenda mirembe hayo sio matuc, ila kipigo mchopata kimewaacha na mahasira kibao.
Mbumbumbu unabadilika kama bendera fuata upepo, si wewe ndiye uliyekuwa unaisifia Yanga FC humu JF ukiomba ulinzi Makolokolo wenzio wasikupopoe kwa kejeli?

Kiko wapi sasa juu ya msimamo wako [emoji848]

Kweli Mbumbumbu ni Mmasai hakawii kukuachia shuka akiona mambo tofauti [emoji28]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe MNATUFUATILIA kwa karibu .

Endeleeni kufuatilia mkuu.
Kuna vikombe na medali huko mbele
 
Acha zako wewe mtopwenga, sikuwa nawatakia ushindi uto mimi, ila nilikuwa natoa tahadhali juu ya kiwango kibovu walichoonesha usma dhidi ya asec nusu final, ikumbukwe nilisema natamani uto wakandwe kama itawezekana.
 
Hawa Uto ni vilaza haswaa...yaani unasawazisha goli halafu ndani ya dakika moja baada unazubaa na kupigwa la pili. Ni ishara kwamba USM walikuwa wamewadharau sana.
 
Hawa Uto ni vilaza haswaa...yaani unasawazisha goli halafu ndani ya dakika moja baada unazubaa na kupigwa la pili. Ni ishara kwamba USM walikuwa wamewadharau sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamelowaaaaaaaaaaaaa
Wamenyeshewa na mvuaaaaaaaaa
 
Kwani Simba mnagombea kitu gani kwenye ligi?

Mbona Yanga ameshamaliza ligi au unaota?
 
Kwani Simba mnagombea kitu gani kwenye ligi?

Mbona Yanga ameshamaliza ligi au unaota?
Hatuzungumzii ligi hapa, tunazungumzia uto kuwa timu bovu la kwanza kuleta kombe la africa hapa nchini nasema haiwezekani, nasisitiza haiwezekana mamaqe na mpigwe tu mpaka akili ziwakae sawa msiwe mnalinganisha watu na lindazi,
PEEGWAA UTOMBILE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…