Pamoja na ubusy wako au kuwa na dada nyumbani kwako ila usiache kuingia jikoni kuhakiki chakula kabla hakijaja mezani

Pamoja na ubusy wako au kuwa na dada nyumbani kwako ila usiache kuingia jikoni kuhakiki chakula kabla hakijaja mezani

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
DADA ANGU MWEMA pamoja na ubusy wako au kuwa na dada nyumbani kwako ila usiache kuingia jikoni kuhakiki chakula kabla hakijaja mezani.

1733072650286.jpg


Hakikisha unakihakiki sio kipo mezani mumeo au watoto au wageni wakilalamikie ama kwa kutoiva, vumvi, mafuta au chochote kile kisicho sawa kwenye chakula hicho dada angu mwema hiyo ni aibu yako kama mama wa familia na inaweza kumfanya mwanaume wako asipende kula nyumbani na akakuona wewe si mwanamke unayejali familia yako yaani dada umempa nafasi ya kuandaa chakula chake.

Wakati mwingine andaa mwenyewe kama mama wa familia, pika na fanya vyote kwa ajili ya mumeo na familia yako hii inakupa thamani yako kama mke na mama bora kwa hiyo familia.
 
Back
Top Bottom