Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi,
Natanguliza kwa kuomba msamaha kutumia maneno makali kwenye uzi huu, kwasababu kwa hapa nchi yetu ilipofika, labda kwa kutumia maneno makali kama haya, ndio yatasaidia tuweze kuelewana na kutubadilisha to change for the better!.
Baadhi ya wananchi wa Tanzania ni ma ignorants, baadhi ya viongozi wetu ni ignorants, na hadi baadhi ya waheshimiwa wabunge wetu pia ni ma ignorants tuu wakiongozwa na wabunge wa chama kubwa, ambao kwa kutumia wingi wao vibaya, ignorantly kupitisha sheria mbovu mbovu na za ajabu ajabu ambazo ziko kinyume na katiba ya JMT na mwisho wa siku zinakuja kuligharimu taifa letu!.
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni, Mhe, Andrew Change, japo kweli ni mtuhumiwa wa tuhuma za ufisadi, lakini kwenye tasnia ya sheria, he is one of the best legal draftsmen we have kwenye Bunge letu, ila kufuatia wengi wa wabunge wetu ni ma ignorants, wazo alilopendekeza jana, kuhusu drafting ya azimio la Bunge, kumepelekea kikao muhimu sana cha Bunge kuvunjika kwa ujinga tuu wa wabunge wetu!.
Naomba kukiri wazi, wazo la kuandika thread hii, limekuwa inspired na post ya Mkuu Nguruvi3
Naomba kuanza kwa kudeclare my interest, mimi Paskali ni ignorant, na najijua ni ignorant!, ndio maana na comment anything ignorantly kwenye public ya jf ili kila mtu ajue my mind.
Tanzania tuna ignorants, wengi, wengine wanajijua ni ma ignorants ila wanaamua kunyamaza bila kucomment chochote ili hiyo ignorance yao, isijulikane, wengine ni ma ignorants ila hawajajijua kuwa ni ma ignorants, na kwa vile wako kimya, one can not tell if they are ignorants or not na wenyewe hawajijui!, ila wengine ni iginorants, hawajijui kuwa ni ignorants, hivyo wanapofanya vitendo vya ignorance kama jana pale bungeni, wakitoka nje wanapongezana kwa ushujaa wa ignorance ile!, hawa wanahitaji kusaidiwa kujulishwa kuwa they are ignorants!, ili angalau next time watumie brain zao to think kabla ya kusema na kutenda na sio kutumia feelings!.
Watanzania tuna problem ya Ignorance!, ambayo hata wabunge wetu wetu ni ma ignorants tuu!, sasa huyu Chenge pamoja na ma ufisadi yake yote, ni mmoja wa watu very sensible mule bungeni!, pendekezo lake la phrasing azimio lile was the best!. Chenge sio tuu ni mwanasheria wa Havard, bali kwenye sheria kuna maeneo mengi sana ya specialization inayohitaji kipaji fulani on top of being just a lawyer, moja ya eneo gumu kabisa ni legal drafting!, ndio maana tulipota uhuru, sheria zetu zote tulicopy and paste "para materiale" (neno kwa neno) kutoka sheria za India, simpy because bado hatuna good legal draftsmen mule ndani ya Bunge letu!, tukubali tukatae, Andrew Chenge is the best kwenye legal drafting, ametoa pendekezo ambalo ndio the best, lakini kwa vile bunge letu limejaa ma ignorants (vilaza), ma ignorants hawa wakakataa pendekezo la Change, simply because Chenge ni fisadi, na pendekezo lake limeungwa mkono na Mwenyekiti wa PAC, Mhe. Zitto Kabwe!.
Kiukweli kilichofanywa jana na wale ma ignorants kule bungeni, ni display ya ignorance at the highest top level!, na kwa vile sisi Watanzania pia ni ma ignorants, tunashangilia tuu ile ignorance!, yaani tunashangilia ujinga!.
Naomba Chenge ahukumiwe kwa ufisadi wake, which has got nothing to do with uwezo wake wa being the best legal draft man!.
Kila siku tunasisitiza humu, mnyonge, mnyongeni!, lakini haki yake mpeni!.
Kuhusu Watanzania na Ignorance, nimeizungumzia hapa.
Escrow: Jee Watanzania ni Ignorants? au Tumelogwa?!.
Nasisitiza nimesema we are ignorants, sijasema we are stupid!.
Kuna tofauti kati ya kuwa ignorant na kuwa stupid!, and it's very unfortunately Baadhi ya Wabunge ni Stupid!, Tanzania haina Demokrasia!, Bunge ni Rubber Stamp!- TBC, Watch Now!
Paskali

Mkuu, hili suala nimelizungumzia kwenye uzi wa Mwanakijiji na Pasco.
Nilisema kuwa hakuna standard hapa nchini. Tunasheria za mwituni
Kwa upande mwingine, wabunge wa CCM wana unafiki. Warioba alitengeneza mambo yawe safi katika rasimu.
Ni hao hao CCM wanaopinga ndio leo wanabanwa kwa kutumia katiba ya 1977 ambayo CHENGE ameidurusu na sasa inasulkumizwa kwa wananchi.
Wananchi nao wajifunze, na hili liwe la kuanzia. Wajue CHENGE haandiki katiba ya wananchi.
Chenge ameandika katiba ya kuwalinda mafisadi.
Mkuu Nguruvi3,Na leo mtu aliyeshiriki vitendo vya wizi zaidi ya mara 2 eti anatoa ushauri kwa serikali. OMG!
Kesho wananchi wanaambiwa wajadili Rasimu ya Chenge! eti wakubali au la.
Mumeona jinsi Chenge anavyomiliki nchi.
Wananchi endeleeni kujadili katiba ya CHENGE mkitegemea matokeo tofauti na tunayoona sasa.
CC
Mag3 Mchambuzi zumbemkuu JokaKuu Pasco EMT