Mbowe ni kiongozi mzuri kuliko viongozi wote wa vyama vyote hapa Tanzania huo ndiyo ukweli. Hii ni kwasababu ya uzoefu wake kwenye biashara. Hivyo tusije kijidanganya kwamba CHADEMA inaweza kupata kiongozi bora mmoja. Hata Kama Lissu akipata uwenyekiti ni lazima awekewe watu makini sana wa kuendesha chama kama Mnjika, Lema. Boni Yai na wengine wanaojua biashara.
Lakini vilevile kwa serikali hii ya Kipolisi CHADEMA ni lazima ibadilike na utaratibu wa Mbowe hautaweza kuwabadilisha hawa Mapolisi. Chadema inahitaji sera za kiharakati sasa hivyo kama Mbowe atabakia ni lazima abadilike au awape wakina Lissu maswala ya uenezaji wa Chama na kutuletea demokrasia.
Hivyo mabadiliko ni muhimu lakini ukweli ni kwamba kama taasisi Mbowe ni kiongozi makini sana na ndiyo maana Chadema ipo mpaka leo. Kelele peke yake tusije tukawa na yale ya Mrema