Pamoja na umaarufu alionao Wema Sepetu kwanini hana maendeleo yoyote, Anakwama wapi?

Haambiliki, Habadiliki na hatajiriki..huyo ndo Wema analingia Wowowo...

 
Wema bado mtoto mdogo wa miaka 17...mwacheni mnamuonea mtoto akishakuwa kama mwaka huu umri wake atakubali usomeke 18,basi ndio tuaze kumsema jamani
 
Office yake ya k inamtosha mbona kumfatilia kama vile mnamlipia kodi
 
Anahitaji chakula cha ubongo ila sema tatzo hajitambui kamwe cjui nn tufanye ila huwa hawajitambuagi hawa watu
 
WEMA ANA MILIKI NYUMBA YA MILIONI 450 KIJITONYAMA,WEMA ANA KAMPUNI YAKE ENDLESS FAME IPO M/NYAMALA KOMA KOMA KACHUKUA FLOOR NZIMA HADI RECEPTIONIST KAMNUNULIA MAC,WEMA ANA GARI 5 Q7,HARRIER,MARK X,BMW na MURANNO.....[HASHTAG]#ZILIPENDWA_TBT[/HASHTAG]
 
Uzuri wa watu wanaofuatilia maisha ya watu wengine huwa wana maisha ya chini kuliko wanayemfuatilia
 
Kuhusu maendeleo kila mtu ana kipimo chake. Let her live her life and live yours. Ni dada yako kwamba akifa utapata shida kulea wanae?!
 
Uzuri wa watu wanaofuatilia maisha ya watu wengine huwa wana maisha ya chini kuliko wanayemfuatilia
Muda huo wakushinda insta wangeutumia vizuri matunda yake yangekuwa ya maana!! [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji107] [emoji107]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…