UKWEEEEEEEELI MPK UMEUDHI!!Huyu hana tafauti na yule Merilyn Monroe wa America ya 1960s japo kwa degree fofauti sana. Ataishia hukohuko alikoishia mwenziye baada ya kutumika sana na wanasiasa both sexually and through publicity. A drug addict,lonely, childless and lifeless finally. No legacy left behind despite the lifetime pomps and pride
A political bimbo!
View attachment 720267
Hana malengo wala hajitambui yupo yupo tuu....Pamoja na umaarufu alionao wema , ni wapi alipokwama hadi anashindwa kuwa na maendeleo?., Amekosa washauri au tatizo ni nini
Baadhi ya watu wanadai kuwa wema ameshindwa kutumia umaarufu wake kujitajirisha, wengine wanadai kuwa Wema amekuwa akitumika kwa maslahi ya watu wengine bila kujitambua, wakitolea mfano Wcb jinsi wanavyo mtumiaga kwa ajili ya maslahi yao na kumtema
Wema amebahatika kuwa na watu milioni 3.4 wanaomfollow instagram lakini ameshindwa kutumia hiyo nafasi kujitangaza kibiashara kama wanavyofanya wenzie akina Wolper, Esma, Aunt Ezekiel
Wema hadi now hana hata kibanda cha mbao alichojenga, tofauti na umaarufu anaojipa, maisha yake yamekuwa ni ya maigizo kila kukicha
Anakwama wapi , ili tumshauri?
Pamoja na umaarufu alionao wema , ni wapi alipokwama hadi anashindwa kuwa na maendeleo?., Amekosa washauri au tatizo ni nini