bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Hongereni Yanga na Simba kuipeperusha bendera ya nchi vizuri, kwa sasa kila nchi ipo na shauku ya kufahamu kipi special sana kwenye soka letu. Huu moto tuliouanza tuuendeleze kwa timu zote pia mwakani, uhakika timu 4 ni vema zikajipanga zaidi ili kuendelea kupeperusha taifa letu zaidi.
Ila pamoja na ushindi kama taifa bado kuna shida, hapa ndio penye hoja ya msingi ukiangalia gemu ya jana Simba anashinda magoli 7, magoli yote yamefungwa na wachezaji wa kigeni, hakuna Mtanzania hata mmoja, ipo kazi ya kufanya.
Mchezo wa leo Yanga Vs Montasir, Yanga anashinda goli 2, goli zote zinafungwa na wachezaji wa kigeni! Bado kuna shida, Academy zetu za Soka inabidi zifanye kitu kutengeneza washambuliaji jamii ya Mayele ili nasi tuwe tishio kwenye Timu ya Taifa na vilabu vyetu.