Nimesikitishwa sana na kitendo walichoonesha watu wa utopolo ndani ya dressing room kwa waarabu kama mbinu yao ya kuwadhoofisha kwenye mechi ya leo.
Mashabiki wa Club Africain wameandika katika ukurasa wao kwamba " hakuna huruma katika kulipa kisasi"
Ni wazi utopolo walitafuta kitu cha uchokozi kwa vile walijua wakienda Tunisia kuna uwezekano wa kupigwa goli nyingi na hivyo warudi wakisingizia wamefanyiwa fitna.
Kitendo walichofanya leo ni cha aibu kwa taifa na ilisemekana waliambiwa kuwa hawatoonekana wazi wakifanya hivyo.
Naamini wamejiandaa kwa dhahama ya ndani na nje ya uwanja kule Tunisia.
Unawachokozaje waarabu? Mnawajua mnawasikia?
Mwana kulitaka…!