Pamoja na utopolo kuwatupia maji yaliyooshewa maiti na unga wa makombora kutoka kwa wachawi lakini wapi!

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Nimesikitishwa sana na kitendo walichoonesha watu wa utopolo ndani ya dressing room kwa waarabu kama mbinu yao ya kuwadhoofisha kwenye mechi ya leo.

Mashabiki wa Club Africain wameandika katika ukurasa wao kwamba " hakuna huruma katika kulipa kisasi"


Ni wazi utopolo walitafuta kitu cha uchokozi kwa vile walijua wakienda Tunisia kuna uwezekano wa kupigwa goli nyingi na hivyo warudi wakisingizia wamefanyiwa fitna.

Kitendo walichofanya leo ni cha aibu kwa taifa na ilisemekana waliambiwa kuwa hawatoonekana wazi wakifanya hivyo.

Naamini wamejiandaa kwa dhahama ya ndani na nje ya uwanja kule Tunisia.
Unawachokozaje waarabu? Mnawajua mnawasikia?

Mwana kulitaka…!
 
Tujuzane wakuu wamefanya nini hawa utopolo huko dressing room?
Jamani tuwacheke kwa pamoja lol...
 
Tujuzane wakuu wamefanya nini hawa utopolo huko dressing room?
Jamani tuwacheke kwa pamoja lol...
 
Mwana kulitafuta....
Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • 20221102_191242.jpg
    28.9 KB · Views: 2
Haya majamaa yakiona simba anashinda na mpinzani anakili na kusema fair play wanajuaga ni kazi nyepesi
Babra ana kili sana
 
The Return Of Champions ya kipumbavu
 
Utopox - United Traditional and Ordinary Players On Exit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…