Pamoja na vitisho vyote Watanzania walikuwa wakiwaangalia tu, hongera Waunguja na wana Singida

Pamoja na vitisho vyote Watanzania walikuwa wakiwaangalia tu, hongera Waunguja na wana Singida

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Acheni mtanzania aitwe mtanzania, ukimtisha anakuangalia utafikiri mjinga kumbe anasubiri siku akujibu. Na haya ndiyo majibu ya ukimya wao.

IMG_20200810_055416.jpg
 
Kwa mie niliyebahatika kuwa kanda ya ziwa Mwaka 2015 hili halinishangazi, nikirudi kwenye mada, Watanzania wanajua wakitakacho na wakati muafaka wa kukipata, kwenye hili hawajawahi kushindwa!.
 
Tumechoka kuamkia mihogo, kushindia mihogo na kulalia mihogo halafu eti ' Tuko uchumi wa kati' uchumi wa mtu ukipanda mabadiliko yanaanzia kwenye kula, mavazi nk.
 
Quinine,

Halafu eti Mtaturu atapita hapa Ubunge. NEVER, CHADEMA simamieni jimbo hili, hakuna wizi hapa majibu tayari yapo kiganjana! DED asithubutu katu kumtangaza asiyestahili!
Wazee wa Singida wamesema wazi kuwa Miraji si mbunge wao, ni mbunge wa viti maalum. Tangu Tundu Lissu avuliwe ubunge hawakuwa na mbunge.
 
Duh mafuriko.... Kikubwa watu wajitokeze
Kupiga kura kwa wingi

Ova
 
Na mwaka huu tutasaidiana na corona kuwatanguliza mbele za haki wakoloni weusi wote
 
Back
Top Bottom