Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huu ni mkusanyiko wa wananchi wa kata ya Utengule huko Mlimba wakisubiri kusajiliwa kwa njia ya kisasa ya Chadema digital.
Tunawasisitiza waratibu wa mambo haya kuhakikisha tahadhari dhidi ya corona inachukuliwa ili kulinda afya za wanachama wetu, ni muhimu sana kuchukua tahadhari hiyo hasa ikizingatiwa kuwa siku zote jambo la Chadema linakusanya Umati mkubwa.