Hakuna chama opposition kipo grassroots zaidi ya CHADEMA. Then kuna mtu atakwambia ni chama cha wachagga!
Ukifika kule kigoma kaskazini ndani ndani huko Kalinzi hadi Matyazo unakutana na mikutano ya ndani ya CHADEMA watu wana hamasa sana hta smartphone hawana, mpaka unajiuliza hivi hiki chama kilifikaje hadi huku?