Pamoja na Watanzania kumlaumu Magufuli, Wakenya walimkubali sana

Pamoja na Watanzania kumlaumu Magufuli, Wakenya walimkubali sana

leonaldo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
2,583
Reaction score
3,182
Licha ya kuwa wapo watanzania wanamlaum Rais John Pombe Magufuli kwa mambo kadhaa lakini huko nje ya mipaka yetu Kuna watu wanamkubari Sana kwa jitihada zake za kuliletea taifa letu miradi ya kutukuka na kuheshimika kimataifa katika kipindi kifupi alicho kaa madarakani.

Somo tujifunze kushukuru kwa mazuri mengi kuliko kukomalia mabaya machache ya kipindi chake, kwani Kuna usemi usemao usiposhukuru kwa machache mazuri hutashukuru hata kwa mengi uteadewayo.

Kwani moyo wenye shukurani hutakabari hata mbele ya uso wa bwana Bali moyo usio kuwa na shukurani Ni chukizo mbele za uso wa bwana.

Hii Imepita Level Ya Kenya' See The Magnificent Bridge In Tanzania That Amazed Kenyans​

News Hub Creator
Feb 10, 2022 11:26 AM
Recently, Tanzania was reported to have launched a new state of art bridge in Dar es Salaam. The bridge is a world class type and has a characteristic of a girdle bridge and a cable stayed bridge making it lighter. According to the reports, the bridge was funded jointly by Tanzanian government and that of South Korea at a cost of 256 billion Tanzania shillings

sarender bridge(1).jpg

sarender bridge(2).jpg
 
Hilo daraja halijajengwa na magufuli.

Ni mkopo uliopendekezwa na Korea wenyewe, na sio limekamilika kwa sababu ya magufuli, Wakorea wenyewe wamesimamia kama vile Kajima na Konoike walivyo simamia barabara za mikopo ya Japan.

Toeni legathi za kipuuzi hizi......
 
Hilo daraja halijajengwa na magufuli...
Ni mkopo uliopendekezwa na Korea wenyewe, na sio limekamilika kwa sababu ya magufuli, Wakorea wenyewe wamesimamia kama vile Kajima na Konoike walivyo simamia barabara za mikopo ya Japan
Toeni legathi za kipuuzi hizi......
Kwanza plan ilianza kwa JK na akasaini mkataba Waziri Saada Mkuya 2014 wakati wa JK pesa ndio ikatoka wakati wa Magu Sasa hizi sifa za nini hawa waabudu kaburi wanakaza mafuvu kweli as if Magufuli atafufuka.

Sielewi wanachokazana kutetea ni nini na mtu ameshakufa mwaka sasa unaisha tumezika zamani,
 
Magufuli anachukiwa kwa mapungufu yake,lakini sio kwa mazuri yake na hili lipo kwa watu wenye Tania ya watu wasio angalia shilingi kwa pande zake mbili na hao huwa chukizo mbele ya macho ya muumba wetu.
 
Kwanza plan ilianza kwa JK na akasaini mkataba Waziri Saada Mkuya 2014 wakati wa JK pesa ndio ikatoka wakati wa Magu Sasa hizi sifa za nini hawa waabudu kaburi wanakaza mafuvu kweli as if Magufuli atafufuka.

Sielewi wanachokazana kutetea ni nini na mtu ameshakufa mwaka sasa unaisha tumezika zamani,
Hiyo ilikuwa ndoto tu,hapakuwa na jiwe Wala mchanga wa kutekeleza Hilo,ashukuliwe aliye ifanya ndoto kuwa kweli.
 
Hiyo ilikuwa ndoto tu,hapakuwa na jiwe Wala mchanga wa kutekeleza Hilo,ashukuliwe aliye ifanya ndoto kuwa kweli.
Endelea kukaza fuvu labda atafufuka. Sioni hizi kelele zinalenga nini au ndio ushamba wa kisukuma? Maana mpo busy kumuongelea marehemu kila kitu Cha Magufuli mbona watu wa Mara , Mtwara wapo kimya tu Yani ni nyie tu dah.

No wonder Mungu alimuua yule mtu wenu aliona hili tatizo maana angekuwepo mngehakikisha hatoki pale ikulu. Na hii ndio mnafanya watu wanachukia sana kwani mkichukulia easy Kuna shida gani?? Yani dah mnaboa aisee kila mtu anapiga kazi hii nchi aisee.

Mkapa aliunganisha Dodoma na Mwanza maana ilikuwa ni safari ya siku mbili keanbasi Hadi tatu lakini mbona easy tu so hela ilikuwa ya watanzania wote? Na watu wa kabila yake wapo kimya tu easy.

Nyie mpoje? Ni ushamba au nini?
 
Eti Magu hajafanya kitu mko sure?
Nyie wenye plan mmefanya nini?
Badilikeni,kazi za mtu huonekana na macho sio maneno.
 
Endelea kukaza fuvu labda atafufuka. Sioni hizi kelele zinalenga nini au ndio ushamba wa kisukuma? Maana mpo busy kumuongelea marehemu kila kitu Cha Magufuli mbona watu wa Mara , Mtwara wapo kimya tu Yani ni nyie tu dah.
...
Kwako ni ushamba unalazimisha chongo kwenye jicho Zima lenye afya,lakini kumbuka miaka mitano ya Magu imefanya Tanzania kuwa mfano kwa mataifa ya afrika kujiletea maendeleo bila kujitetea kwa vijisababu vya kijinga oh kasungura kadogo, oh sisi masikini na ndio maana Leo mawaziri wetu wanapata tabu Sana kutudanganya,ukileta longolongo watu wanakomaa
 
Licha ya kuwa wapo watanzania wanamlaum Rais John Pombe Magufuli kwa mambo kadhaa lakini huko nje ya mipaka yetu Kuna watu wanamkubari Sana kwa jitihada zake za kuliletea taifa letu miradi ya kutukuka na kuheshimika kimataifa katika kipindi kifupi alicho kaa madarakani...
Wakenya hawahawa waliomchangia Lissu damu na kulaani kitendo cha yeye kushambuliwa kwa risasi na pia kuzidisha kelele kuwa nchi yetu inatawaliwa kishenzi baada ya katazo la kuvaa T-shirts za 'get well soon' kwa ajili ya Lissu.

Hapo ndipo ujue kuna waliyoyaunga mkono lakini ukatili na udhalimu wake waliulaani.
 
Licha ya kuwa wapo watanzania wanamlaum Rais John Pombe Magufuli kwa mambo kadhaa lakini huko nje ya mipaka yetu Kuna watu wanamkubari Sana kwa jitihada zake za kuliletea taifa letu miradi ya kutukuka na kuheshimika kimataifa katika kipindi kifupi alicho kaa madarakani.
...
Kwa hiyo? Basi mpelekeni akatawale Kenya!
 
Endelea kukaza fuvu labda atafufuka. Sioni hizi kelele zinalenga nini au ndio ushamba wa kisukuma? Maana mpo busy kumuongelea marehemu kila kitu Cha Magufuli mbona watu wa Mara , Mtwara wapo kimya tu Yani ni nyie tu dah...
Na wewe si uchukulie easy Magu anaposifiwa life liendelee tu.
 
Magufuli alimalizia tu project alizokuwa ameanzisha Kikwete, alikuwa ameshaziombea hela, hana.jipya la kujivunia, zaidi ya ukatili kwa binadamu wenzake!! Legacy yake ni uonevu na ukatili kwa wenzake kama vile wenzake ni wanyama wa mwituni, hilo ndo atajivunia hana jipya
 
A
Licha ya kuwa wapo watanzania wanamlaum Rais John Pombe Magufuli kwa mambo kadhaa lakini huko nje ya mipaka yetu Kuna watu wanamkubari Sana kwa jitihada zake za kuliletea taifa letu miradi ya kutukuka na kuheshimika kimataifa katika kipindi kifupi alicho kaa madarakani.

Somo tujifunze kushukuru kwa mazuri mengi kuliko kukomalia mabaya machache ya kipindi chake, kwani Kuna usemi usemao usiposhukuru kwa machache mazuri hutashukuru hata kwa mengi uteadewayo.

Kwani moyo wenye shukurani hutakabari hata mbele ya uso wa bwana Bali moyo usio kuwa na shukurani Ni chukizo mbele za uso wa bwana.

Hii Imepita Level Ya Kenya' See The Magnificent Bridge In Tanzania That Amazed Kenyans​

News Hub Creator
Feb 10, 2022 11:26 AM
Recently, Tanzania was reported to have launched a new state of art bridge in Dar es Salaam. The bridge is a world class type and has a characteristic of a girdle bridge and a cable stayed bridge making it lighter. According to the reports, the bridge was funded jointly by Tanzanian government and that of South Korea at a cost of 256 billion Tanzania shillings

View attachment 2115372

View attachment 2115373
Kifufuka mpeleke Kenya akawe rais wa huko.
 
Back
Top Bottom