Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Point tupuMagufuli amechukiwa kwa ukatili wake Wala sio mambo mengine. Msipindishe ukweli the guy was a psycho hayo mangine tunawaachia msifie nyie waabudu kaburi kazeni mafuvu komaeni ili afufuke.
Upo sahihiMagufuli alimalizia tu project alizokuwa ameanzisha Kikwete, alikuwa ameshaziombea hela, hana.jipya la kujivunia, zaidi ya ukatili kwa binadamu wenzake!! Legacy yake ni uonevu na ukatili kwa wenzake kama vile wenzake ni wanyama wa mwituni, hilo ndo atajivunia hana jipya
Aliowabambika kesi wako humumu, walioibiwa pesa zao na TRA wako humu humu, wale walioporwa fedha Bureu De Change wako humu humu, waliofukuzwa kazi eti vyeti feki wakati na yeye ana PhD feki waki humu humu, aliowaambia wakae na navi yao nyumbani wako humu humu.Ukitaka kumfahamu vizuri JPM nashauri ulizia popote pale duniani lakini sio Jamii forum hapa kuna maadui zake tu
Hoja itajibiwa kwa hoja. Utopolo unategemea ujibiweje? Eti wakenya walimkubali magufuli! Kwa lipi hasa? Kwa kuchoma vifaranga? Kwa kutaifisha ng'ombe? Au kwa kuuwa biashara ya mahindi?kama huna hoja si bora unyamaze,utapungukiwa akili ukinyamaza?