Tukio la hivi karibuni mtaani kwetu ambapo jamaa mmoja alimfumania wife wake 'akimega mkate' na kijana mmoja kinyozi limekuwa ni muendelezo wa matukio ya wake za waume wenye ajira nzuri, pesa na familia bora kukutwa na vijana wasioweza hata kulinganishwa nao kimaisha.
Kilichonigusa ni pale kijiweni vijana walikuwa wanasema hawa wanaume wanasaidiwa kutokana na mfumo wao wa maisha, kupenda vitu soft na kujikuta hata kwenye majamboz kiwango kinashuka.
Walinimaliza pale kijana mmoja aliposema ....'Bro unadhani pampu ya Chipsi ni sawa na pampu ya Ugali'?...
Hata hawa walinzi nao wa siku hizi wanapendeza na uniform zao? nao sijui wanakula ugali? na wababa wanaorudi saa nane za usiku wanawakomeshaga sana, kimke kinajisevia tu. matukio kama hayo yanatokea sana kwenye jamii yetu, ingekuwa yanakuwa wazi mbona mngecheka sana, ni hivi huyo tu ameshikwa. Acheni kula mimbuzi na michips wababa wa maofisini ili muwe na nguvu
Kitimoto je?
:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2😛ampu ya ugali ni noma jamani! Vijana wanakuwa ngunguri kweli kweli, wakipanda hawashuki na ikiwezekana wanasimamia hadi vidoleeeeeee! Hapo kama baba mwenye nyumba anashindia chips, akija jioni/usiku wakati mke amesha pitiwa na mla ugali atamwona kama anamchafua tu, kwani kiu yote imekatwa na mla ugali! Onyo kwa wababa wa chips, tubadilike la sivyo wake zenu hawata waheshimu katika swala zima la ndoa!!!!!!!!!!!!!!!:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
Hivi mafuta si ndiyo yana eneji sana!!!