Pan Africa Energy inachukua gesi KILWA lakini inalipa kodi ILALA.....!

AbasMzeEgyptian

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
407
Reaction score
312
Zipo taarifa zinazoelezea kwamba kodi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa asilimi 0.3 (0.3%) ilikuwa inalipwa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala na kampuni ya Pan Africa Energy. Ni baada ya juhudi za mbunge wa Kilwa Kaskazini Murtaza Mangungu kuingilia kati ndio kodi ikaanza kulipwa Kilwa.


Habari ndio hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…