Zaidi ya wajumbe 250 toka nchi 40 kutua mjini Zanzibar hayo yamebainishwa na mmoja wa waandaji wa mkutano huo balozi-maalum utalii anayeiwakilisha Seychelles nchi Tanzania Bi Maryvonne Pool ( the Seychelles Tourism Ambassador and Consul Tanzania) ambaye ametoa shukrani kwa serikali ya Mapinduzi Zanzibar iliyokubali kuwa muandaji mkuu na mwenyeji wa kongamano hilo muhimu.