displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,085
Wanajamvi na wazee wa itifaki na protoko nisaidieni kuelewa jambo hili; hapo siku za nyumba tumekuwa tukishuhudia nyaraka za serikali JMT huwa inasainiwa na mwakilishi mmoja mahususi haswa kwenye maswala ya JMT.
Ila nimepita kwenye hii matokea ya idadi ya watu katika majimbo ya uchaguzi nikashangaa kuona imesainiwa na viongozi wa pande mbili yaani Serikali ya JMT na Serikali ya Zanzibar so swali langu linakuja kwani pana tabu gani akisanie mwakilishi mmoja wa JMT maana Zanzibar si sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Hapa nilitarajia Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pekee angetosha wasilisha na upande wa pili wa Muungano!👇
Hapa chini naona mwaandakaji akadakwa na ukakasi akaishia kuandika MTAKWIMU MKUU WA SERIKALI hajafafanua ni serikali ipi ili hali upande wa pili ametanabaisha bayana kabisa bila tashwishwi MTAKWIMI MKUU WA SERIKALI YA ZANZIBAR!!👇
Wenyekuyafahamu haya watufahamishe na wengine KULIKONI uandishi huu!!???