Pana upendo hapa au ndo kuwa mshika pembe?

:bump:hakuna kitu kama hicho wewe hebu acha kumshauri mwenzio pumba...............hcho ni kimeo tu hbu potezea.NAKABIDHI

Aaaah bana wewe, njia za Mungu zinatisha sana bwana.
 
Kama amesoma Tumaini University degree ya sheria achana naye kabisa! Utashika pembe wenzako tutakamua maziwa.
 
Kama amesoma Tumaini University degree ya sheria achana naye kabisa! Utashika pembe wenzako tutakamua maziwa.




Kwa maana hiyo mchungaji hata sisi unatushauri kuwa waliopitia katika kitengo hicho tuwaogope kama ukoma.
 
Wabongo wakati mwingine hatuaminiki, utakuta mtu anakuja kuomba ushauri kumbe tayari kashafanya maamuzi yake
 
pole sana Hunter,kitu unachoshindwa kujua ni wewe na huyo dada mlikuwa na mapenzi ya upande mmoja,ulimpenda zaidi ya yeye alivyokupenda!!!!hali hii ilikuwepo mwanzo wa uhusiano wenu,mwisho wa uhusiano wenu na ndiyo itakavyokuwa hata ukimrudia tena!!
pia huyo dada kashagundua uko sooo weak kwake,hata ukimuoa anaweza jifanyia mambo yake mwenyewe kwa kujua kuwa uko weak kwake na hutamfanya chochote!!!....Jaribu kuonyesha MSIMAMO...ulimpata demu mwingine....jaribu kumuonyesha kuwa Umempata wako wa ubani na HUTORUDI nyuma kamwe....ataacha kukusumbua!!!
all in all nadhani bado unampenda huyo dada,mnaweza endelea kuwa wapenzi...ila lazima uwe cautious!,usijaribu kufikiria kumuoa that will be a big mistake!!!!,mchezee halafu umuache....may be she will learn her lessons by then!!!!:A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::embarrassed::embarrassed:
 
Nashukuru wote kwa ushauri mzuri, nikweli kama hapo Tanzania ilikuwa hivyo akija hapa itakuwa balaa!
Narudia kusema asanteni kwa ushauri mzuri
 
....Yaani weye mkuu kwa kuuliza hilo swali tu ambalo jibu lake lipo wazi tayari nshakudharau !!

Inanikumbusha story ya jamaa mmoja ambaye demu kule bongo, ambaye hata hawajawahi kuonana uso kwa uso (demu alisikia tu kwa shoga yake kuwa best wake ana braza states) basi akajifanya anatafuta mtu wa kumsadia kupata info flan, LAKINI ghafla bin vuu eti akamfia jamaa-again ambaye hata hajawahi kumuona- na sasa anataka ndoa, eti keshawajulisha mpaka kwao ana mchumba....!!!
 
Kama amesoma Tumaini University degree ya sheria achana naye kabisa! Utashika pembe wenzako tutakamua maziwa.

mmh, jamani hiz conclusion zingine? yaani baba mchungaji unageneralize kirahisi hivyo?
 

Naomba tumtumie Mungu vizuri, ni wakati gani unaweza sema huyo ni mke/mme toka kwa Mungu? Je ni kwa mfano wa huyo mwanamke asiye na msimamo, mara akunyanyapae, mara tena akusifu na kumnyanyapaa aliyenaye! Kumbuka huyu si mke bado angekuwa mke tayari ushauri ungekuwa tofauti, je si hata biblia imesema utawaona kwa matendo yao!? Kwa ujumla huyo dada ni kigeugeu, umesema jamaa anajidai kwa vile yupo USA, hebu tuchukulie huyo jamaa aliye na huyo demu kwa sasa naye angekuwa USA ni upi ungekuwa msimamo wa huyu demu in question!?

Mbona umetetea sana, au ni wewe, I am sorry
 
Lakini wadada wengi wanapenda kwenda States, sio wa Tz peke yao.. Na kwa sababu hawajawa empowered and they poses no skills, tiketi pekee ya kufika huko ni 'miili' yao.

jamani si kweli wengi kwa sasa tunafanya kazi na kama nauli sio ishu mbona jaman mwatuonea kusema ni miili yao tu,..........nimeboreka:redfaces:
 

Weye Pauline hii ndiyo nini sasa? Aaaaaarrrrrrrgggghhhhhh! umeandika bandiko zuri sana lakini hapo kwenye nyekundu Mhhhhhhh!
 
piga tu chini coz inaonesha huyo dem ni green pasturer hivyo hata wewe anaweza kukuacha one day
 
huyo mwanamke ni mshamba amesikia huko majuu anafikiri una mahela, na ukweli ni kwamba hakupendi lakini pia kwanini umnyang'anye huyo jamaa yake sasa hivi

mytake
wachana naye maana hana msimamo na maisha yake atakuja kukusumbua tu
 
mwulize izi..SABABU ILIYOKUFANYA ULILIE TUACHANE UNAIKUMBUKA?
SASA ivi tupo karibu au umbali umezd?
mkimbze wewe hana lolote uyo just upo majuu ndo kashoboka afu mademu wa dzaini iyo wa KUSHOBOKA ogopa sana..
...imagne km ungekuwa matombo uko unalima mihogo then ye yupo dar ANGEKURUDIA?angetaka mrudiane?au angesisitiza UMBALI KIKWAZO KWAKE?
...MJOK TU MWAMBIE KWAN WANAENDELEAJE NA JAMAA?
UYO hakupend anazani kwako kuna AHUEN JUST BCZ UPO MAJUU...ana tamaa uyo mkimbize mbiooooooo km unakimbza mwenge kakangu!!
a
 
Huyu hana lolote kakaa kimaslahi zaidi baada ya kusikia uko States naona ndio anataka kujifanya anakupenda muda wote huo alikuwa wapi wakati bado upo Bongo hawa ndio wakina Shaniqua hawa opportunist tena ahata assurance hana huyu tena ikibidi mpotezee tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…