Pana upendo hapa au ndo kuwa mshika pembe?


Hilo swali la msingi sana maana mara ya kwanza yeye alisema umbali ndio ishu na hapo ilikuwa ni hapa hapa bongo sasa imekuwaje sasa hivi jama yuko states demu ndio anaona anampenda huyu mwanamke wa kumkimbiza kabisa
 
Mi sidhani wa2 wakipendaga huwa wanashaurika, mpaka yaje ya mkute ya kumkuta ndio atakumbuka ushauri anaopewa hapa lakini kwa sasa mnajisumbua 2 ukimsoma kwa makini muandika mada anampenda sana huyo ex wake
 
Hilo swali la msingi sana maana mara ya kwanza yeye alisema umbali ndio ishu na hapo ilikuwa ni hapa hapa bongo sasa imekuwaje sasa hivi jama yuko states demu ndio anaona anampenda huyu mwanamke wa kumkimbiza kabisa

we ebu nipigie afu tamka ilo lisignature lako..
linamaana gan?
 
Kama alivokuonya usimpigie sim, hayuko tayari kumkwaza ampendae, basi na wewe tumia jibu hilohilo. Naumwambie ulienae ni mkali sana atakuletea shida, hata kama hauna mtu. Yani huyo mbinafsi tena sana akita yeye apate ukitaka wewe akupe masharti.
 
Bora ulishika mapembe ulifaidi kidogo sasa unako elekea utashika kamba kabisa huyo anakupenda kwa vile upo state ataka angalau uwe unamtumia angalau usd awe anazama byulo kuchukua madafu.
 

Hapo kwenye RED, inanishangaza Pauline ukiwa kama mdada kutoa ushauri wa namna hiyo kwa mwanamke mwenzako?
anyway, what comes around always goes around!!!!!
 
Hapo kwenye RED, inanishangaza Pauline ukiwa kama mdada kutoa ushauri wa namna hiyo kwa mwanamke mwenzako?
anyway, what comes around always goes around!!!!![/QUOTE]

I like that
 
Nashukuru wote kwa ushauri mzuri, nikweli kama hapo Tanzania ilikuwa hivyo akija hapa itakuwa balaa!
Narudia kusema asanteni kwa ushauri mzuri

Kaka usipate tabu. Dawa ya mwanamke ni mwanamke. Tafuta kitu cha ukweli halafu update picha yako ya facebook umkate kidefu..:whoo:
 

Yaani umemaliza kila kitu hapo Pretty. Jamaa asipochukua ushauri wako likalomkuta atajijua mwenyewe. Mademu wa Bongo bwana, yaani wakisikia mtu yuko nje ya nchi hata kama ni Zimbabwe kwenye njaa kali wanababaika sana!
 

Pretty mbona umesema niliyotaka kusema wewe...,
 
Huyo siyo mtu mwema kwako,anataka umpeleke state,na akija huko atamrudia jamaa yake.
 
Hapo kwenye RED, inanishangaza Pauline ukiwa kama mdada kutoa ushauri wa namna hiyo kwa mwanamke mwenzako?
anyway, what comes around always goes around!!!!!

mnh msije mkanimeza bureee...kama mnamsoma mtoa mada,mwenzenu bado anampenda EX wake!....ndio maana nikashauri aendeleze pendo ila asifanye makosa ya kumuoa...!!!inawauma mie kusema huyo mwanamke achezewe tu....mbona haiwaumi kuona huyo mwanamke alichezea tu huyu kaka mwanzo na bado anataka amchezee tena?:embarrassed::embarrassed:
 

THE HUNTER,
Achana na huyo dem hakupendi, kwani unaweza kumuwezesha kuja US, then huyo b/f wake akamuambia amekuja US kwa kaka yake au ndugu yake, then akifika huko akishafanikiwa atakutosa tena na kama vipi ukionekena kikwazo anaweza kukuua ili jamaa yake anayempenda naye aje US, au anaweza kuona mtu mwenye mafanikio zaidi huko, si unajua nchi zilizoendelea si kama TZ, so anaweza kuzuzuka!!!
KWA UFUPI HAFAI KABISA HATA KIDOGO, NI SUMU!!!
 
Sura yako mbaya sana wewe mtoa mada. hata mie nakushinda uzuri! Kha!
 
1.mtakuwa wawili kama si watatu.
2.hakupendi lakini anajua unampenda sana.
3.najua unamtayarishia ticketi aje usa. Lakini elewa baada ya muda jamaa yake nae atatia timu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…