Panadol na Seven Up (soda)

Digoxin JR

Member
Joined
Jul 1, 2014
Posts
83
Reaction score
14
Nasikia kuna mtu kafariki baada ya kumeza Panadol kwa kutumia Soda.. Kuna reaction gani hapo jamani hadi mtu anazidiwa na kisha kufa kisa Panadol + Soda?
 
Naskia kuna mtu kafariki baada ya kumeza panadol kwa kutumia soda.. kuna reaction gan hapo jaman had mtu anazdiwa na kisha kufa kisa panadol + soda

Umesikia na huna uhakika sio.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…