Madamu umecheki mpaka (Ultrasound) na hawakuona kitu isijekuwa umetendewa huko uliko mambo ya kiswahili (magic) nina hisi una wewe Hernia inakuanza ingawa hujasema ni muda gani hayo matatizo yamekuanza? Nina kupa First Iad Jaribu kutumia hizi dawa Msokoto wa tumbo:
Chemsha uzuri Anisuni, kamuni (bizari nyembamba au uzile) na nanaa kwa vipimo sawa na tia Asali kidogo, halafu tia matone saba ya habbasouda (mafuta) kwa kiingereza hayo mafuta yanaitwa (Nigelle Sativa Seed oil) kunywa kinywaji hicho kikiwa na uvuguvugu pamoja na kupaka mafuta ya (Nigelle Sativa Seed oil) pahala panaposokota.