VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Madamu umecheki mpaka (Ultrasound) na hawakuona kitu isijekuwa umetendewa huko uliko mambo ya kiswahili (magic) nina hisi una wewe Hernia inakuanza ingawa hujasema ni muda gani hayo matatizo yamekuanza? Nina kupa First Iad Jaribu kutumia hizi dawa Msokoto wa tumbo:Upande wangu wa kulia chini ya kitovu una maumivu makali yanayoambatana na tumbo kuunguruma.Nimefanya vipimo vya Ultrasound nikaambiwa kuwa sina tatizo.Mahala hapa bado panauma.Hili ni tatizo gani? Tiba yake ni ipi?
Madamu umecheki mpaka (Ultrasound) na hawakuona kitu isijekuwa umetendewa huko uliko mambo ya kiswahili (magic) nina hisi una wewe Hernia inakuanza ingawa hujasema ni muda gani hayo matatizo yamekuanza? Nina kupa First Iad Jaribu kutumia hizi dawa Msokoto wa tumbo:
Chemsha uzuri Anisuni, kamuni (bizari nyembamba au uzile) na nanaa kwa vipimo sawa na tia Asali kidogo, halafu tia matone saba ya habbasouda (mafuta) kwa kiingereza hayo mafuta yanaitwa (Nigelle Sativa Seed oil) kunywa kinywaji hicho kikiwa na uvuguvugu pamoja na kupaka mafuta ya (Nigelle Sativa Seed oil) pahala panaposokota.
Ni kweli ile dawa ya naniliu sio ya kwangu ndio maana inauzwa bei kubwa ingelikuwa ya kwangu Mkuu ningelikuuzia kwa hiyo bei uliyotaja lakini mimi mwenyewe nainunuwa huko iliko inakuwa imeshatengenezwa teyari mkuu ina nguvu sana hiyo dawa mkuu ukiitakawasiliana na mimi Mkuu.Naam hata ile dawa yako ya naniliu nitanunua..............kapunguze bei walau 80,000!