Pandikizi la Urusi, Crimea laponea kuuawa, mwendo wa kuishi kwa uwoga na kugeuza geuza kichwa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kiongozi aliyesimikwa na Urusi walipoiba ardhi ya Crimea ameponea kuuawa na jasusi la Ukraine, kwa sasa kila pandikizi anaishi kwa uwoga na kuangalia angalia nyuma na kugeuza geuza kichwa maana hakuna aliye salama, ukizingatia Putin mwenyewe drones zimewahi kumkuta ikulu.....
Haya yote yataisha siku wazalendo wa Ukraine wataichukua Crimea yao, safari imeanza tayari na mapambano makali yanaendelea, supapawa Urusi inasogezwa nyuma hatua kwa hatua licha ya kutumia nguvu nyingi kujichimbia...........
Yaani kainchi kadogo ila kanajituma zaidi ya balaa....Hii Urusi ndio ilikua inajisifia uwezo wa kupigana na NATO, inavyotiwa aibu na ka-Ukraine.

Russia's Federal Security Service (FSB) said on July 3 it had thwarted an assassination attempt on Sergei Aksyonov, the Russian-backed head of Crimea, the Interfax news agency reported. The FSB said it had detained a Russian man who had been hired and trained by Ukraine's security services to kill Aksyonov by blowing up his car. There was no immediate comment from Ukraine. Russia annexed Crimea, where it bases its Black Sea Fleet, from Ukraine in 2014.
 
SASA andika jinsi Marekani inavyoisapoti Israel kuchuka archi ya waparestina
Jamaa huyu akili za kuchambanua masuala ya Geopolitics na kintellijensia akili hizo hana kabisa, we angalia hata headings za habari/taarifa zake karibu zote - ni totally sensational ie hazina kichwa wala miguu - we mwambie Putin atakufa wiki ijayo basi yeye ataanza kujipongeza kwa kunywa changaa/mulatina/kill me quick jioni hii.
 
Hapo umeipa promo intelejensia ya Russia,wako vizuri!

Hehehe!! Intelijensia inakamata jamaa akiwa kwenye tukio, yaani alikua ameanza kushambulia sema akawa slow kwenye kuchomoa bomu.......ustadhi jiongeze wacha kukariri.
 
Jamaa huyu akili za kuchambanua masuala ya Geopolitics na kintellijensia akili hizo hana kabisa, we angalia hata headings za habari/taarifa zake karibu zote - ni totally sensational ie hazina kichwa wala miguu - we mwambie Putin atakufa wiki ijayo basi yeye ataanza kujipongeza kwa kunywa changaa/mulatina/kill me quick jioni hii.

Wacha hasira ustadhi, na bado, tuliwaonya humu humu, leo mumeishia kulia lia...
 
Hehehe!! Intelijensia inakamata jamaa akiwa kwenye tukio, yaani alikua ameanza kushambulia sema akawa slow kwenye kuchomoa bomu.......ustadhi jiongeze wacha kukariri.
Cha msingi amekamatwa na no harm was done!Hiyo tunaita a job well done,hapo mtu kadakwa red handed!
Hapo ni directly kunyea debe maisha,hakuna suala sijui uchunguzi haujakamilika!Pole yake na familia yake!
 
Cha msingi amekamatwa na ni harm was done!Hiyo tunaita a job well done,hapo mtu kadakwa red handed!
Hapo ni directly kunyea debe maisha,hakuna suala sijui uchunguzi haujakamilika!Pole yake na familia yake!

Hehehe ni kama kupiga drones ambazo hufika hadi kwenye paa la ikulu ya Putin, huwa zimetoka kote huko bila kuwa detected na mifumo yote ya ulinzi, zinamsababishia Putin anakosa usingizi.
Intelijensia ya kweli na ya uhakika ni ile inafanya shughuli kimya kimya, rais au kiongozi analala kwa amani bila kujua kuna watu wamefinywa kadhaa ambao walikua na ni ya kumdhuru.
Sasa huyu wa kwenu hapo Crimea, yaani mpaka jamaa amefika kuchomoa bomu ndio anakamatwa, tayari imesababisha tension kwa kiongozi.
Waulize Mosad namna wao huwafanya wale waarabu wenu.
 
Unarukaruka tuu,kikubwa ni kuwa zoezi limedhibitiwa na wana usalama na hakuna madhara!Huyo jamaa anaenda kunyea debe maisha!
Mengine haya ni porojo tu zisizo na msingi!
 
Hehehe!! Intelijensia inakamata jamaa akiwa kwenye tukio, yaani alikua ameanza kushambulia sema akawa slow kwenye kuchomoa bomu.......ustadhi jiongeze wacha kukariri.
Hajui hata maana ya neno "PANDIKIZI" kwani wamekwabia ana uzito wa kilo na urefu wa futi ngapi au ni HULK wa huko kwenu KAKAMEGA.
 
Hehehe ni kama kupiga drones ambazo hufika hadi kwenye paa la ikulu ya Putin, huwa zimetoka kote huko bila kuwa detected na mifumo yote ya ulinzi, zinamsababishia Putin anakosa usingizi.
Intelijensia ya kweli na ya uhakika ni ile inafanya shughuli kimya kimya, rais au kiongozi analala kwa amani bila kujua kuna watu wamefinywa kadhaa ambao walikua na ni ya kumdhuru.
Sasa huyu wa kwenu hapo Crimea, yaani mpaka jamaa amefika kuchomoa bomu ndio anakamatwa, tayari imesababisha tension kwa kiongozi.
Waulize Mosad namna wao huwafanya wale waarabu wenu.
Tatizo la jamaa huyo hoja zake karibu zote ni kitoto toto sana.
 
Unarukaruka tuu,kikubwa ni kuwa zoezi limedhibitiwa na wana usalama na hakuna madhara!Huyo jamaa anaenda kunyea debe maisha!
Mengine haya ni porojo tu zisizo na msingi!

Kikubwa ni kua kiongozi wa nchi na mapandikizi wake wanalala kwa uwoga uwoga maana madude yanakamatwa yakiwa kwenye hatua za kuwapiga, hehehehe takbir.
 
Zele ndio analala kwa Woga,sio Putin!
 
Zele ndio analala kwa Woga,sio Putin!

Zele alipewa masaa aikimbie Ukraine, amekomaa na kubadilisha kibao, leo rais wa supapawa hata salamu za mtoto mdogo inabidi wapambe wake washikilie mkono....

_-20-11-jpg.2467859
 
Eti leo,unajua hiyo picha ya lini?Angalia baada ya Coup kufeli,mwamba akaingia kitaa,full kujichanganya na raia!
Wewe unaleta porojo gani?Punguza utoto!
 
Back
Top Bottom