Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Ndugu zangu,
Kwa hakika "Pandora papers" ni kama pigo kwenye mshono (surgery) baada ya kipigo cha BBI dhidi ya Uhuru Kenyatta na washirika wake.
Mwanasiasa atakayejihusisha na kambi ya Uhuru Kenyatta katika uchaguzi wa Kenya mwaka 2022 ni dhahiri atapata tabu kutoka kwa "hustlers" wakiongozwa na William Ruto.
Kitendo cha taarifa ya mamilioni ya dola kuvumbuliwa na taasisi ya waandishi wa kimataifa ni dhahiri itamdhoofisha Uhuru Kenyatta na zaidi kumuondolea uhalali kushawishi wakenya kuhusu pendekezo la mruthi wake katika urais.
Ukizingatia kushindwa kwake kwenye BBI ni dhahiri hili ni pigo kali kwenye mshono.