Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Upangaji wa kazi humaanisha kwamba badala ya kuchukua kazi nzuri iliyopo, unapanga mikakati ya kupata kazi inayoenda sawia na maazimio na mahitaji yako ya kibinafsi.
Unavyofanya kazi
Ratiba ya kazi ina sehemu nyingi:
Unavyofanya kazi
Ratiba ya kazi ina sehemu nyingi:
- Kulinganisha azimio lako na kazi ambazo zitakutosheleza.
- Kufanya utafiti kikazi ili kujua hali ya kazi nyingine zilizopo.
- Kutathmini maarifa na elimu yako ili uone kama unahitaji mafunzo zaidi.
- Kutafuta kazi kwenye taaluma unayoichagua.
- Kutengeneza wasifukazi na barua tangulizi pindi unapopata nafasi na uwe tayari kwa mahojiano baada ya kutuma ombi.