Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hapo sasa unamuacha Nyonzima unamtoa Gyan,kweli?Kwa Nicholas Gyan .. Waangalie vizuri
Simba watakapofeli ni hapa.Unamuacha vesatile player kama Gyan although si mzuri kihivyo unamuacha Niyonzima ambaye am very sure hatapata nafasi msimu ujao First eleven.Kama ingewezekana kuvunja mkataba wa Niyo kwakweli wangemfungashia Virago.Haina haja ya kua na Foreigner lakini anaanzia nje.Hata huyo Gyan si mzuri kihiiiiivyo.CAF CL Simba wajipange,Wasajili Wanaume na si wavulana.Haya....Ndio hapo sasa unamuacha Nyonzima unamtoa Gyan,kweli?
Gyan?? Kivipi??-Juuko Murshid
-Laudit Mavugo
-Juma Liuzio
-Jamal Mwambeleko
-Mwinyi Kazimoto
-Mohammed Ibrahim, na
-Nicholas Gyan
Chanzo: MWANANCHI
View attachment 785588
Niyonzima naona kama atakuja vuruga tu mfumo!Ndio hapo sasa unamuacha Nyonzima unamtoa Gyan,kweli?