Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wow safi sanaHatimayee zoezi lika Anza rasmi, saa sita kasoro kugaiwa vizimbaa wamachinga wa nguo, viatu, mabegi na urembo kwa siku ya leo, na kesho watafata wajasiria Mali wa mboga mbogaa na matunda, vinywaji na mpesa. Na hivi ndo vizimbaa katika eneo la dampo Buhongwa.
Bado makoroboiHabari wanajavini, leo ilikuwa siku rasmi ya kuwapanga machinga Mwanza, wilaya ya Nyamagana kata ya Buhongwa.
Muitikio ulikuwa mkubwa wa wamachinga kufika mapema sana.
Humo kitaumana..😂
Wakimaliza wakapange kwa wahaya au sio 😀😀Wakimalizana na machinga wahamie kupanga mateja sasa wamezidi sana vituoni mwa sie wapanda dala dala
Hahahahah mie simo 😂Wakimaliza wakapange kwa wahaya au sio 😀😀
Nimependa mpangilio, naomba wanasiasa wasiingilie utaratibu huu.Hatimayee zoezi lika Anza rasmi, saa sita kasoro kugaiwa vizimbaa wamachinga wa nguo, viatu, mabegi na urembo kwa siku ya leo, na kesho watafata wajasiria Mali wa mboga mbogaa na matunda, vinywaji na mpesa. Na hivi ndo vizimbaa katika eneo la dampo Buhongwa.
.....alisikika mlevi mmoja wa wanzuki pale Igoma Mwanza.......Wapiga Kura Wangu Msiwabomoleshe
Mzee, mateja wamerudi tena? Hii inasikitisha sana.Wakimalizana na machinga wahamie kupanga mateja sasa wamezidi sana vituoni mwa sie wapanda dala dala
atakufa mtu hapo
HahahahahNimependa mpangilio, naomba wanasiasa wasiingilie utaratibu huu.
Kwani waliwahi kutoweka mkuu?!! (Jibu hili huku ukiamini Mungu yupo hapo mbele yako anakuangalia na kukusikiliza)Mzee, mateja wamerudi tena? Hii inasikitisha sana.