Waziri Mchengerwa nakupa alert tafadhali tuma wachunguzi waje kwenye hii wilaya ya hovyo kama ya Pangani ama kiukweli wana kuhujumu na wanakuharibia kupita kiasi
Waziri Mchengerwa pesa za miradi inapigwa kupita kiasi hapa halmashauri Wafanyanyakazi au watumishi hawapewi haki zao kwa kabisa kiufupi wanapigwa aisee kwa mfano ulitoa Tangazo kwa ajili ya pesa za kujikimu ilikuwa mwisho tarehe 30 mwezi wa kumi uwe mwisho wa kupewa pesa zao ila mpaka hola au wamepewa kiasi kidogo haifiki hata nusu na ukiwauliza hawakupi majibu ya kueleweka.
NB. Waziri Mchengerwa nimekupa alert usije sema sijakuambia na wakiendelea hivi kuna speed ya kuanguka kwa CCM kwa kasi ya 5G, kazi kwako.