Panic as China Puts Kenya SGR Funding on Hold

Hii madeni ni mingi sana. Serikali lazima iwache kujaza madeni namna hii, halafu wanaumiza Wakenya by over-taxing. Sasa wanaongeza ushuru kwa sababu wameshindwa kubalance budget. Sasa if you decide to have a budget that you can't finance from internal revenue and the budget deficit to gdp ratio of over 8%, then obviously Kenya will start experiencing financial constraints. IMF have always told us to reduce our budget deficit, lakini gava haisikii. Nadhani the future is not bright unless these people in power change their mindset on borrowing. 5 trillion shillings in debt is not a joke.
 
Kati ya Kenya na Tanzania hakuna anayeweza kumkibia mwenzake, ila na wao wakenya waache tabia ya kutia vidole machoni kwa wachina. Mataifa kama haya ya Wachina, wa Korea, hata wa Israel, hawana msamaha wa haraka kwa watu wanowaletea figisu.
Kidole gani tumetia kwenye macho ya wachina?
 
Kidole gani tumetia kwenye macho ya wachina?
Mara manaenda kwa Trump at wrong time, mara mna kamata kamata wachina kwenye tv, mara mnawapiga picha wanafanya mambo PRIVATE pembeni ya SGR, vyote hivyo they go long way kwa watu wenye visasi kama hao wachina.
 
Mara manaenda kwa Trump at wrong time, mara mna kamata kamata wachina kwenye tv, mara mnawapiga picha wanafanya mambo PRIVATE pembeni ya SGR, vyote hivyo they go long way kwa watu wenye visasi kama hao wachina.
Nilishagaa sana kusikia Kafrican akisema kwamba kenya inataka ku blackmail china kwa one belt one road project. Eti kama wachina wapo serious na mradi huu wao wafanye SGR naivasha to kisumu bure..
Wachina sio watu wakutishwa na nchi maskini kama kenya, mtajua hamjui
 
Hawa jamaa wachina they record keep at heart anything hata kama ni kodogo vipi. Angalia uhusiano wao na Japan, kama ingekuwa nchi nyingine vingeisha siku nyingi, lakini wao mpaka leo kuna uhasama wa chini chini. Trump alimualika Ramaphosa kwenda Washington all this to undermine Chinese-Africa summit, Ramaphosa akakataa for the same reason not to upset their friend China, and China is a good friend of ANC, na wote wako BRICS. Trump kwa hasira zake he turn on twitter na kusema mambo ya land issues in SA. Sasa huku Kenyatta haraka haraka mbio kaenda Washington, assuming Chinese they will understand and and let this go. If there was no trade war between them (China, US) hapo ingekuwa sawa, lakini at this moment hao jamaa wanamenyana at all angles including South China sea territory. Inabidi kujua how to play with diplomacy kwa hizi nchi za wakubwa.
 
Mtaimalizia hiyo reli kwa kuchora...
Haaahaahaaha, nasikia Kenyata ni tajiri sana, kivipi anashindwa kufanya donation yake akafanya kitu kimoja memorable kwa taifa lake lote vizazi na vizazi vijavyo? Kazi kuomba omba tu kama matonya na yupo vizuri.
 
Hivi kumbe ramaphosa alialikwa akakataa, ndio trump akaingiza masuala ya ardhi.
 
Siamini uzi umefika comments 30+ ila ni mkenya mmoja tu ndo aliechangia
 
nchi maskini ambayo iko na projects worth more than $8B given to Chinese companies and import goods worth more than $5B from China...
Wakitunyima pesa za SGR live live, hapo itakua ni very unprecedented , possibly itamaanisha a shift or a at least a slow down in diplomatic policies towards China in favor of countries like Japan.
And speaking of Japan, Japan is the one that was to build Dongo Kundu SEZ. .....
Japan and Kenya sign Sh27.3bn deal to build Dongo Kundu hub
Of the Sh27.3 billion, Sh21.36 billion is a long term soft loan while Sh5.969 billion is a grant.
https://www.nation.co.ke/news/Japan...ngo-Kundu-hub/1056-3362308-bfx70qz/index.html



And now the Chinese want to build the Dongo kundu SEZ .
President Uhuru Kenyatta’s visit to Beijing for the 2018 China-Africa summit scored big wins for Kenya with Chinese private investors lining up for public-private partnership deals worth billions of shillings.
The major deals a 30-kilometre expressway running from JKIA across the city and development of Dongo Kundu industrial Special Economic Zone in Mombasa
More Chinese private investors line up for public partnerships



I wonder who will get to build the SEZ, I am personally routing for Japan, the work they have done on Dongo Kundu bypass in Msa is superb..
But, this is yet more leverage we can use against the Chinese to get free grants, I mean look at the Japanese for example, their loans are soft long term loans and they also include free grants as part of the package and they do a good job, their projects are usually very people centered, just look at ngong road, the Japanese refused to do the road until GoK added money and space for bike lanes and footpaths... and here come the Chinese, they want the SEZ which includes building a free port (like the one in Dubai) where everything that lands there or is manufactured within the SEZ is almost zero taxed.. So it’s not just Kenya that has a lot to loose, China too will be put to work if they back out...
 
Naona ume panic😂😂 Umeanza kutoa vijisababu kama mtoto mdogo. Leo China imekuwa sizitaki mbichi hizi😂😂😂 Japan also has projects in Tanzania😂😂😂 Latest is Tazara flyover 😂😂😂😂
 
Kenya has no leverage over china in anything, $8bn worth of projects in just half the cost of bagamoyo + cement factories in Tz, Even on trade, $5bn per year in exports is a drop in the ocean for china's global trillion dollar trade per month.
This misguided attitude that kenya is special is your problem..And its the same bigoted problem uhuru has, Ethiopia was able to restructure its SGR loans with china, kenya could not even get a regular loan let alone a free grant.
The problem with kenya is bad attitude, supremacy posture that is rooted in tribalism or ethnic "exceptionalism"
China has options in africa especially with ethiopia,eritrea,Djibouti and somalia now working together
 
30km express way ndio deal kubwa la kumpeleka Uhuru China??? Magu anajenga 20km express way, 6 lanes kutoka Kimara Mwisho hadi Kibaha Maili moja na ujenzi umesha anza, Uhuru ni hasara kwa wakenya, anaweza kufanya Photo shoot kama ma model na kulewa, muwekeni Hamisa Mobeto badala ya UK since kazi wanazofanya ni sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…