Habari za jioni.
Aisee ndivyo wanavyoitwa wanaume wanaopambania ndoa zao kwa wake zao.Yaani mshono gani utoke mke asiutake.Dume hilo mbio mbio kwenda kusaka mafaranga au maokoto hata kwa kubeti.
Kwi kwi kwi! Linajichekesha kwa mkewe baby nguo hizi hapa.Utaona bibie kafurahi anajaza begi la tatu la nguo.Angalia sasa hilo dume kabegi kake kadogo hakana hata nguo ooh! Panta lomoko na nzoto( suruali moja mwilini mwaka mzima [emoji81])
Aisee wanunulieni angalau nao kabegi kake ka tangu anatoka shule kajaejae nguo[emoji81] Jinunulieni nguo na nyie basi sio muwanunulie wao tu.