Ultimate JF-Expert Member Joined Nov 29, 2016 Posts 739 Reaction score 1,888 Feb 15, 2024 #1 Aisee Hii series nimekua recommended na moja ya jamaa yangu Nimemaliza kuangalia pantheon S02 itoshe kusema ukiachana na mr robot hii animation series kutoka studios za amazon prime ni kali Kiufupi hii series inaongelea UIs (Uploaded Intelligence) na CIs hii ni mbali zaidi ya AI. Fikiri inakuja technology ya ku upload ubongo kwenye cloud, Unakua uploaded kwenye server wewe na personality yako Nimejikuta na google vitu vingi sana na pia nimeongeza ufahamu hasa kwenye advance AI and field zake hasa DL Pantheon The Singularity in Two Seasons catid.io Review: 9.5/10
Aisee Hii series nimekua recommended na moja ya jamaa yangu Nimemaliza kuangalia pantheon S02 itoshe kusema ukiachana na mr robot hii animation series kutoka studios za amazon prime ni kali Kiufupi hii series inaongelea UIs (Uploaded Intelligence) na CIs hii ni mbali zaidi ya AI. Fikiri inakuja technology ya ku upload ubongo kwenye cloud, Unakua uploaded kwenye server wewe na personality yako Nimejikuta na google vitu vingi sana na pia nimeongeza ufahamu hasa kwenye advance AI and field zake hasa DL Pantheon The Singularity in Two Seasons catid.io Review: 9.5/10
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 15, 2024 #2 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw