G GWATABHIKURUME Member Joined Mar 1, 2012 Posts 26 Reaction score 3 Aug 16, 2012 #1 Jamani mmesikia kuhusu hii teknolojia ya kupunguza gharama ya mafuta kwenye magari kwa kufunga kifaa maalum cha kupunguza gharama? Nimeona mtu akiuza ila naogopa kuingia mkenge, mwenye taarifa zaidi atujuze!
Jamani mmesikia kuhusu hii teknolojia ya kupunguza gharama ya mafuta kwenye magari kwa kufunga kifaa maalum cha kupunguza gharama? Nimeona mtu akiuza ila naogopa kuingia mkenge, mwenye taarifa zaidi atujuze!