Hero JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 3,932 Reaction score 2,839 May 20, 2021 #1 Ngoja nisiongeze neno🙊!
Hero JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 3,932 Reaction score 2,839 May 20, 2021 Thread starter #2 Kwa covid-19 'vaccine' dunia imeingizwa chaka! Jadiri. (30 marks)
Papi Chulo JF-Expert Member Joined Jun 8, 2018 Posts 6,260 Reaction score 7,395 May 20, 2021 #3 Nasikia eti hadi masoja wetu nao wanadungwa vaccine... Hivi msoja wa marekani anaweza kudungwa vaccine kutoka China au Russia!??..
Nasikia eti hadi masoja wetu nao wanadungwa vaccine... Hivi msoja wa marekani anaweza kudungwa vaccine kutoka China au Russia!??..
Hero JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 3,932 Reaction score 2,839 May 21, 2021 Thread starter #4 Papi Chulo said: Nasikia eti hadi masoja wetu nao wanadungwa vaccine... Hivi msoja wa marekani anaweza kudungwa vaccine kutoka China au Russia!??.. Click to expand... Yaani ukistaajabu ya Mussa ya Pharao lazima yatakutoa kwenye reli!
Papi Chulo said: Nasikia eti hadi masoja wetu nao wanadungwa vaccine... Hivi msoja wa marekani anaweza kudungwa vaccine kutoka China au Russia!??.. Click to expand... Yaani ukistaajabu ya Mussa ya Pharao lazima yatakutoa kwenye reli!