Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Kwa sasa huenda kisiwashughulishe sana mafisadi CCM na kwa sababu wanashiba na kulindwa na mabunduki watakipuuza hicho kikundi.
Ukweli ni kwamba panya road wakipata mfadhili na watu wa kuwapanga vyema ki mkakati kitakuwa ndicho kikundi sahihi cha kuitoa CCM madarakani.