Panya road: Kikundi cha uasi kinachopiga jaramba

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Kwa sasa huenda kisiwashughulishe sana mafisadi CCM na kwa sababu wanashiba na kulindwa na mabunduki watakipuuza hicho kikundi.

Ukweli ni kwamba panya road wakipata mfadhili na watu wa kuwapanga vyema ki mkakati kitakuwa ndicho kikundi sahihi cha kuitoa CCM madarakani.
 
Hahahahaaa!!kwa maana iyo kimetawanyika nchi nzima unaota ww. Waulize wenzio w KIBITI mpk leo una story zao?nipe maendeleo yao
 
Hahahahaaa!!kwa maana iyo kimetawanyika nchi nzima unaota ww. Waulize wenzio w KIBITI mpk leo una story zao?nipe maendeleo yao
JPM ni tofauti na royo tuwa
 
Hawa akiingia comando mmoja tu anawamaliza wote. Kisikutishe hiki dogo wanawasubilisha tu waue wawili watatu ili kupunguza population ya wajinga baada yapo wawapoteze mazima
 
Paka road wapo wapi mpaka panya road wanazaliana kiasi hiki?
 
Nenda kawafadhil basi

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…