Uchambuzi,
Katika kupambana na wahalifu, kuna wakati inabidi tuwaze mbali zaidi.
Ingawa natambua watanzania tulio wengi huwa hatupendi kufikiri Kwa kina;
Naomba Leo tutafakari kwanza maswali yafuatayo;
1. Nini maana ya PANYA ROAD
2. Nani aliyelathimisha jina hilo la kitaalam.
3. Nini malengo ya kutumia jina hilo
4. Inawezekanaje kikundi kama hiko kikasambaa mji mzima na kwa mafunzo yepi kisijulikane kama kipo kweli?
5. Kwanini kilipotea kimerudi tena?
BAADA YA KUPATA MAJIBU YA MASWALI HAYA.
Utagundua kwamba nguvu ya saikolojia inaweza kuhamisha milima.
Sitakaa niamini kama kuna kikundi hiki hadi nipate majibu ya maswali hayo.
Msipojibu maswali hayo msishangae nitakaposema kuna POPOBAWA FISADI.